Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nianze kwa kutoa pongezi kwa wizara ya kilimo na uvuvi,na hasa tume ya maendeleo ya ushirika nchini,kitengo cha elimu,hakika sasa lipo jambo watumishi w idara hii nyeti ya serikali wanafanya, pili...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
1. Kenya wameshaunda gari za Volkswagen polo, wataanza kutuuzia muda si mrefu. kwa uzoefu, magari ya kijerumani huwa garama kuliko magari ya kijapan. 2. sehemu kuliko na magari ya nchi za ulaya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa! Ni matumaini wote wazima. Kwanza kabisa, siku za nyuma niliwah kupost juu ya chalks project na nilikuwa naulizia juu ya upatikanaji wa mashine, nashukuru nimempata mtengenezaj...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari xa asubuhi ba ndugu Naombeni maujusi ya hii biashara kwa kutumia sim zetu hizi za kisasa Maana naona kuna viapplication vipo vipo lkn sijavielewa Na je vinamake faida kweli?
0 Reactions
0 Replies
715 Views
KANUNI ZA UJASIRIAMALI Ni tabia gani unahitaji ili upate mafanikio katika biashara au shuguri yoyote unayofanya? ili ufanikiwe katika shughuli au biashara unayofanya au unayotarajia kufanya ni...
5 Reactions
1 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu. Nimejaribu kuwekeza kwenye sekta ya usafirishaji kwa mda sasa yaani daladala . Ni shida kubwa sana kufanya hii kazi , ziko sababu kazaa kwa uzoefu wangu. (1) Trafiki wana...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Salama wakuu? Nina lengo la kuanzisha biashara ya m-pesa, tgo pesa, na huduma nyingine za aina hii. Changamoto yangu kubwa ni kwamba sijajua eneo gani linafaa zaid kwa biashara hii hapa Dar. Kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FAHAMU JINSI YA KUJISAJIRI NA HELPING HANDS INTERNATIONAL (h2i) AMBAYO NI FURSA MUHIMU KWA KUJIKWAMUA KIUCHUMI HELPING HANDS INTERNATIONAL (H2i) Hii ni taasisi isiyo ya kiserikali imeanzishwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Moja la tatizo kubwa kwenye biashara na kilimo Tanzania ni usafiri ingekuwa vema serikali ingetoa kodi zote kwenye magari kazi kama malori na pickups. Hili litarahisisha watu kupeleka mbolea...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
yani nataka ntafute kitu kama dell la maji barid hiv, na baadh ya vinywaji, yan kiwe kama kiosk flan hiv ambacho inaeza ikawa hata ni pemben ya barabara kama kuanzia tukikosa sehem ya frem HATA...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
Kafanikiwa kupata huo mkopo Habari za mda huu!! jamani natafuta wa kunikopesha 30000 tu !! nitarudisha after 3days!! kwa yeyote alie serious PM msaada Tafadhali
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Shalom! 1. Awali ya yote nahitaji kufahamu kuhusu upimaji wa kiwanja Chenye ukubwa wa 250 *150 square meters kilichopo kijijini mkoani Mara wilaya ya butiama! 2. Gharama za upimaji wa kiwanja...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
f.c.k.u
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta field Natafuta field
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninahitaji mabanda ya nguruwe ya kukodisha. Mwenye mabanda au information tafadhali tuwasiliane. Yawe Dar es Salaam. 0758830045
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninahitaji toolbox ya Raisin Windscreen.... msaada ni jinsi gani naweza kupata?
0 Reactions
0 Replies
618 Views
ninacho kipato (net guaranteed income) ya shs 250,000/- kwa mwezi zinazotokana na wapangaji wangu wa kibiashara kwenye nyumba, na wenye mikataba ya kudumu. nahitaji mkopo wa shs milioi 20 wa muda...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Muheshimiwa kwanza nianze kukupongeza kwa Juhud zako tukufu za kulifufua shirika letu LA nndege hii inaonesha una nia ya dhati ya kutufikisha canaan. Muheshiwa pia nimeona jitihada zako za kuvutia...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…