Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu wa hii biashara ya vifaa (spea) za simu naomba mnisadie kunitajia aina gani ya vifaa au spea za simu ambazo ni lazima niwe nazo kwenye hilo duka...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomb mwenye ujuzi anifahamishe tafadhali nawezaje kupata kipato kwen YouTube
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo ningelipenda kufahamu utengenezaji wa mishumaa materials manunuzi utengenezaji mpaka faida toka kwa mwenye uelewa asanteni
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Salaam Wadau! Nimekuwa nikifuatilia taarifa mitandaoni kuhusu hizi nauli za ndege za AIR Tanzania kati ya Mwanza na Bukoba ambapo kwenda tu itakuwa shs 140000. halafu Mwanza to Dar tshs. 160000...
1 Reactions
23 Replies
12K Views
Wakuu, Msaada wa mawazo tafadhali. Ninampango wa kusajili kampuni BRELA ila nimepata kigugumizi kwenye jina litakalo-reflect biashara nyingi zinazofanywa na kampuni yangu (mfano: mradi wa shule...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD dropped by over 100 pips last week. Price has dropped by more than...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Hii si ya kukosa Mazee...!
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Nataka kuanzisha duka la dawa mhimu iwe nje na mwanza mjni,,,,,,vzuri zaidi vjijini,,,,,,,mwenye location nzuri plz anisaidie,,,,,,,,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza nifute ujinga. Hili ni dini(gemstone) gani?,nitaweza kuliuza wapi? Ni yapi makadirio ya bei. Nimeliokota shambani.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii Imenigusa..... *most will not even bother to read this* 1. Most Africans are religious, but not spiritual. I don`t know why I started here but let`s move on anyway. Religion is a significant...
11 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari.. Kwa yoyote mwenye jamaa au kama ni yeye ambae anaweza kuchoma chama na virieties alike..naomba tuwasiliane kwa namba 0655784688..only serious persons are needed na mwenye kujua sio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejifunza vingi kwa watanzania wengi wanapenda kushabikia vitu vya kutoka nje, Mimi napenda kuwakumbusha watanzania wenzangu tujivunie vyetu. Jajojo mills niwatengenezaji na wasambazaji wa unga...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Wasalaaam! Ni po kwa masikitiko juu ya aina hii ya uchaw kwenye biashara,nakumbuka siku moja jamaangu mmoja anafanya biashara ya duka la madawa na M-Pesa alikutwa na msala wa kupoteza laki nne...
0 Reactions
72 Replies
22K Views
Habari ya jioni watu wangu wa nguvu JF Kuna msaada nina uhitaji kwenu kwa wanaofahamu nini kifanyike ili kuwasaidia hawa watu wameniuliza maswali 1. Mmoja anasema ana kipaji cha kuimba ila...
0 Reactions
2 Replies
720 Views
Dear all, Salamu. Naomba mwenye ufahamu anijuze kwa sababu nataka kuanza kununua Hisa pale DSE (including IPO) pia kununua Treasury bonds. hivi hawa brokers huwa wanatoza fee kiasi gani? Je...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu JF , nategemea kufanya safari ya kikazi kutembelea maeneo ya Lusaka, Ndola na Kitwe. Naomba kufahamisha masuala anuai juu ya safari kwa maeneo hayo. Kufuatana na uzoefu binafsi. Hotel/...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
In trading we have a concept known as alpha – that is the measure of skill we bring to the investment process as measured by comparison to a given benchmark. Traditionally we think of generating...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Nina wazo langu la biashara ambalo lipo katika hatua za awali kabisa ambapo itachukua mpaka miezi 4 kukaa sawa. Sasa nafikiria kusajiri jina la biashara ili iwe mwanzo tu kulifanyia kazi wazo...
0 Reactions
5 Replies
986 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…