Huwa najiuliza ni kwa nini kipindi hiki biashara za Networks Business zimeongezeka kwa wingi tofauti na hapo awali. Je ni inamkomboa mwananchi kutoka umaskini kweli au inamdidimiza? Na Je inafaida...
Habari zenu tena wadau wetu wa GREDO MEDIA Tanzania,
GREDO MEDIA Tanzania ni mmiliki na muandaaji wa Campus Magazine. Jarida jipya na la kisasa linalotarajiwa kuanza kutoka kila mwezi hivi...
ukiyaona yamechongoka katika pembe mbalimbali ni kama vipande tofautiii HALAFU vimeungana kwa pamoja nahitaji kujua ni AINA gani ya madini na thamani yake katika soko la dunia
Habari wadau,
Kuna tetesi sana mtaani kua makampuni ya simu yameamriwa na serikali kuuza asilimia 25 ya hisa zao na yataanza kufanya hivyo January Mwakani. Je, taarifa hizo ni sahihi? Na iwapo...
Habari za siku wana Jamii.
Natafuta restaurant ya kukodi. Pia mwenye taarifa na kuwepo kwa tenda ya kuendesha canteen ya chuo, ama taasisi yoyote anijuze.
Asanteni sana.
Nadiriki kusema haya kulingana na hali niionayo sasa hivi. Pia sababu sasa hivi kwa sabab sasa hivi ili kupanda juu lazima ufanye ttukio sitashangaa maandishi haya MTU akataka kupandia cheo...
Wakuu.
Mimi ni mtaalamu wa usindikaji wa chakula. Nimesomea BSc Food science and technology , SUA.
Nahitaji mtu wa kufanya biashara katika hizi zifuatazo.
1. Pombe aina ya wine ila siitaji wine...
Figures show the Chinese economy is worth £11trillion, the US £10.8trillion
The IMF estimates China’s economy will be worth £16.7trillion in 2019
The US has been the global leader since it...
Katika hali isiyokuwa ga kawaida mkoani Mtwara leo basi za Machinga zimeshusha bei kutoka 26,000 mpaka 18,000, hizi basi zilikuwa ni High Class kabisa kwa Mtwara to Dar High Class ni 26,000 na...
Wakati shirika la ndege la fastjet lilipoanza shughuli zake hapa nchini takriban miaka 5 iliyopita, lilikabiliwa na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa kuzushiwa tuhuma nzito, haswa kuhusu usalama...
Habari ya majukumu watanzania wenzangu?
Kuna siku niliuliza taratibu za kufuatwa ili kumuona DC wadau humu walinielekeza na leo nimefanikiwa kuonana nae.
Lengo la uzi huu ni kutaka kushare nini...
Nimekuwa mdau mkubwa wa Fastjet toka ianzishwe kwa domestic na International flights na hasa Johanesbug lakini hivi karibuni hawa jamaa FASTJET wamezidisha ku-cancel ndege imenikuta nikiwa ugenini...
Hii serikali ya Magufuli kiboko, mipango mingi imebuma! Sasa hebu nipe ushauri hapa. Uwekezaji wa kibank, fixed account unalipa? Yaani napata vijisent kila mwezi lakini income haiko fixed, labda...
Wakuu, kama heading inavyojieleza....
Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba...
It's Urgent, please I need your help...
Bei ni tsh laki moja tu kwa heka
Zinauzwa kuanzia heka kumi na kuendelea
Yanapatikana ktk tarafa ya lupembe mkoani njombe
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsap 0742188846...
Wandugu, ili kujikomboa na halii hii ngumu ya maisha iliyotunyemelea hapa nchini miaka hii, mwenzenu nimejipigapiga na kufanikiwa kujenga mjengo kwa ajili ya biashara ya nyumba ya kulala wageni...
Habari za huku ndani wakuu, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavojielezea.
Naomba mkopo wa 3m,na nitarejesha baada ya miezi 6.
Mimi niko Morogoro.
Dhamana yangu ni Kiwanja
Nashukuru.