Heri ya xmass wadau wa JF..naomba kama kuna mtu yoyote anajua jinsi ya kupata leseni ya biashara anipe maelekezo naanzia wapi. Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Jamani wana Jamvi naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza reem paper kwa bei ya jumla. Naomba kujua inalipa kwa kiasi gani na changamoto zake ni zipi.
Ndugu wana JF
Nilikutana na mtu kabeba bidhaa zake alizonunua, nikamuuliza umenunua shilingi ngapi, akanitajia. Nikauliza umechukua risiti ya EFD akasema ndiyo na bila kumuomba akaitoa...
Kuna makundi manne (4) ya watu wanaotengeneza pesa hapa duniani.
1. WAAJIRIWA.
Hawa ni watu ambao kimsingi wanauza muda wao almost wote wa siku nzima kwa mwajiri wao na yeye anawalipa pesa kwa...
nilinunua hisa kwenye UNIT TRUST OF TANZANIA( UMOJA), miaka kumi na kitu iliyopita. tofauti na hisa nilizonunua sehemu nyingine , mfano TANGA CEMENT NK, hii la umoja sijawahi...
HOW BILLIONARES THINK!!
If your boss paid you 600,000 every month and you saved all that money without touching a coin, you would need to work for 36 months to get 21million.
But if you...
habari JF,
Mimi ni mhitimu chuo kikuu, na ajira ni tatizo kama mnavyojua
sasa nafiliria kuhusu kufanya biashara ya chakula kama MCHELE, UNGA, nitoe mbeya
nipeleke Dodoma, naomba ushauri wenu.
Wadau habari!kwa wale ndugu zangu wenye uzoefu na soko la kuku wakienyeji katika masoko ya Dsm hasa Shekilango,Manzese,Tabata na Kisutu,
Naomba wanijuze kama kuna uwezekano wa kupata soko la...
Habari zenu wapendwa,
Ni matumaini yetu kuwa nyote mu wazima, leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya dhana ya ubora wa bidhaa/huduma na jinsi gani kuhakikisha huo ubora
Biashara nyingi...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bullish
Gold moved upwards in the first few days of July and then began to consolidate to the downside. The downside consolidated was conspicuous from July 13 to 27...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25.Baada ya kutafuta maisha bila mafanikio kama kuna mwenyeji wa bumbile , Makibwa, goziba, anidokeze yafuatayo
1. maisha yalivyo na mazingira ya kule
2. fursa...
Hizi ndio ajira zisizotaka akili wala nguvu nyingi,ni kwa kiasi kidogo tu cha mtaji waweza kuanza na ikakulipa mara 5 ya mtaji unaowekeza na kila siku unapata pesa nyingi zisizo na ushindani wala...
Natumai mu wazima wote naombeni kufahamishwa bei ya vitu hivi kwa wanaovifahamu bei zake.Tv ya LCD inch 42 na 52 aina ya Sony na, Tv ya LCD inch 42 na 52 aina ya Samsung.tafadhalini nisaidieni...
Salaam wakuu wanaJf
Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu.
nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda...
Ninahitaji kununua kifaa tiba fulani toka katika kampuni ya Maya medical equipment limited yenye anwani hii hapa:No 10, Haiyue building ,HaiBin garden, Shangjiao Dashi town, Panyu...
Kupitia tovitu/website ya Benk Kuu ya Tanzania wamesema sarafu zote zilizowahi kutolewa na Benki hiyo bado zinatumika. Hivyo tu'hamasike' kuzitumia.
Source: Bank of Tanzania (BOT): Home Page ...
Nasikitika sana kuandika hii complain, maana imenifanya niichukie kazi ya uwakala wa vodacom m-pesa kutokana huduma mbovu nilizopata kutoka kwenye kampuni kubwa kama ya vodacom, kwanza customer...
Habari za Wikiend Wadau,
natumai mko poa, nafikiria nijihusishe na Biashara ya Mpunga, lakini sio katika kununua au kuuza mpunga wenyewe, bali kuvuna au kukoboa mpunga wa watu wengine. Yaani...