Naombeni ushaur kidogo natalajia kuingia chuo 1st yr mwez wa 10 mwaka huu cjajua ntapangiwa wap ila my target ni UDSM na ARU ss nafikiria nikifika chuon nifanye biashara sasa cjajua nifanye...
Anaitwa Mohamedy Dewji, mjasiriamali mwenye nia ya kuinunua simba sporty club ili iweze kupiga hatua za kimichezo ona mikakati yake hapa na ndoto zake.
Jina la mkurugenzi mtendaji na Rais wa...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair assumed a bullish journey last week, going upwards 230 pips. Price topped at 1.1195, closing above the...
Naomba kusafishwa namna mtu anaweza kuafika katika maduka ya nguo pamoja na viatu nakuja kuuza Tz. Unatakiwa kuwa na angalau sh ngapi kwa ajili ya safari, malazi na manunuzi ya mzigo. Anayefaham...
Ni hivi majuzi tu Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda aliunda tume kuchunguza sababu za kufeli kwa wanafunzi wa Form Four iliyopelekea kuwa na matokeo mabaya nchi nzima.
Tunakuomba Mheshimiwa...
Habarin za. Muamko ndugu zangu,Kwanza kabisa nachukua nafas hii kumshukuru mungu kwa kutupa pumzika na kutupa afya njema na waliohospitalin mungu awatie wepes ktk malazi yao yote.
Kila anaepewa...
Habari wana JF.
Naomba mnifungue macho kuhusu kulipa kodi kwa mkupuo na kulipa item kwa item. Mimi mdau katika hii biashara ya Suzuki carry ambapo ninalipa Income Tax kwa kila gari inayofikia...
WanaJF habari,
Nina Suzuki Carry nataka kumpa Dereva ambaye atakuwa akiniletea malipo kila baada ya wiki moja.Mimi si mzoefu sana katika biashara hii hivyo nimejaribu kuwauliza watu mbalimbali...
SUPER TRADING STRATEGIES – TAPPING THE HIDDEN RICHES IN THE MARKETS
“One of the best ways to learn about anything is to read about it. Books, articles. Even just marketing pages. Find out what...
Wakuu ninatumaini mpo poa sana
Kutokana na hali ngumu ya maisha na watu wengi kukosa sifa za kupata mkopo nimekuja na wazo kwa wale waliopo mwanza wwnye biashara ndogo ndogo au walioajiriwa...
Naamini nitakuwa nimepata jukwaa huru la kushare kile ambacho kipo kwenye mind yangu na kinasumbua kwelikweli.
Wadau ninaomba msaada wa mawazo kati ya haya mawazo mawili, kupanda miti ekari...
Abu Dhabi. Kutokana na utamaduni uliojengeka kwa nchi za Falme za Kiarabu, uwapo wa vivutio na ukarimu kutoka kwa wenyeji ni mambo ambayo yameifanya Abu Dhabi kuwa sehemu muhimu kwa utalii...
Hii ni baada ya kufuatilia trend ya masoko kwa zaidi ya miaka minne mfululizo.
Ni hivi, kuna bonde moja liko kati ya wilaya za Mpwapwa na Kilosa, linaitwa Lumuma. Pale kwa sasa wameanza kuvuna...
Wakuu naomba tujadili kwa pamoja baadhi ya fursa ambazo wajasiriamali tunaweza kuzipata. Michango yenu inaweza kuzingatia SWOT ANALYSIS ili mtu anapoandaa project plan yake iwe virahisi zaidi...
Amani iwe kwenu wadau.
Nimekuwa nikitafakari namna watu wanavopata shida ya kupata msosi kwa wakati wanaotaka wao na nikagundua kuwa kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mathalani mtu anaweza taka...
Katika huo wa mradi wa Tundwi-Songani Kigamboni Dar watu tulilipishwa pesa taslimu kwa ajili ya kiwanja/viwanja; sasa ni karibu mwaka mzima umepita baada ya kupeleka picha na deposit slip...
Mimi ni muhitimu wa chuo kimoja wapo apa nnchini katika ngazi ya diploma, nilikua nawishi siku moja niwe moja kati ya wajasilia mali wakubwa apa nchini ila tu Tatizo linakuja pindi tunapofikia...
Nilikua naitaji kufahamishwa na kupewa maelezo ya utendaji kazi, faida na hasara kuusiana na biashara ya mtandaon ijulikanayo kma referral kma cjakosea
Habari wakuu,
Wakuu mi nahitaji nigandishe mtindi kwa njia zakawaida kabisa nyumbani kwani sina uwezo wakuwa na kiwanda.
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ninaomba kufahamu kwa wajuzi wa hili...
Wasalaam wakuu, kama kichwa kinavyojieleza,nina haja yakuanzisha biashara ya kuuza madawa ya binadam( nmefikiria zaidi ile ya kuuza jumla pharmacy) ila ata reja reja wazoefu nisaidieni
Naomba...