Wadau naombeni ushauri nataka kununua Mabati yanayotengenezwa na kampuni ya snow leopard building materials ya yabata segerea.
Nimeona bei zao zipo fair na nimevutiwa nao ila sijajua ubora wa...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
This market merely went flat throughout last week; neither closing above the resistance line at 1.1150 nor going below...
Kwa Kamishna Mkuu TRA,
Ili kutekeleza azma ya Rais kuhusu ukusanyaji wa mapato, naomba kutoa mchango wangu na mapendekezo kama ifuatavyo:-
1. Ukusanyanji wa kodi za ndani ni wa kizamani mno...
Wapendwa
Nimekuwa nafuatilia mtandao wa kusafirisha mizigo hasa toka nje ya nchi nikaona kuwa tunayo Lulu kama sio dhahabu tuliyo lalia nayo ni shirika la posta;
Hili shirika lina mtandao mzuri...
Wakuu wa JF natumaini mko poa.
Ninatumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kuhusu baadhi ya waajiriwa ambao hawasongi mbele kimaendeleo bila kujua sababu inayowafanya wawe hivyo. Wakuu...
When new traders move into the arena of trading they face several functional difficulties such as how do markets work, what are the subtle difference between markets and most importantly how does...
Habari zenu wana JF, mwenye kufahamu soko zuri ya ruby nut..ni mawe(madini) yanayo uzwa kwa kg ani pm.kana mnunuzi au middleman anajua soko tupeane info tuone kama tunaweza fanya biashara.nna...
Wakuu salaam,
Ki msingi mtu unapokuwa na biashara kubwa hasa inayofanya kazi kwenye mfumo wa kampuni, pamoja na mambo mengine unatakiwa uwe na vitu (3) ili ufanikiwe.
1. Mtaji (2) Maono...
Hesima kwenu Wadau wa JF.
Nina wazo la kutengeneza chaki na kuziuza mashuleni. Sasa naomben msaada, CHALKS MOULD INAUZWA SHILINGI NGP?(umbo la kutengeza chaki) AU MASHINE INAUZWA SH ngp? Na ni wap...
Wadau wa humu,
habari
Nina wazo la kuanzisha private investigation firm hapa Tanzania...kwa wale wenye clue naomba mnijulishe yafuatayo
1.Mazingira ya kisheria
2.Prospective challenges za hii...
Unaweza soma makala nyingine nyingi za uwekezaji na ujasiriamali kwenye tovuti ifuatayo: Uwekezaji na Ujasiriamal(Bofya Hapa)
Hatua ni umbali kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine au kutoka...
Wataalam wetu wa uchumi, kwa sasa kodi inayokusanywa ni trillion 1 average. Lakini kwa hali ilivyo na inavyoonyesha kuna kila dalili kwamba inaweza kushuka mpaka billion 600. Swali langu ni je...
Wanajf naomba mniondoe ushamba kijana mwenzenu. Kuna rafiki yangu yupo Kenya anataka kunitumia salio/fedha, naomba kufahamu njia atakazotumia yeye kunitumia hizo fedha.
Vile vile mnielekeze jinsi...
what more can i say.. the figures and fact all out there for everyone to see. plus oil kenya economy will surely reach GDP US $250billion by 2030. can someone help me to post that table here...
Habari zenu!
Mimi niishawahi kukaa Morogoro - Mang'ula, nilijuana na watu wengi, pia nilijua fursa ktk kilimo cha mpunga mahali pale, ni rahisi sana kwa laki kama mbili, hii ilikua kipindi hicho...