Hello wakuu...habar zenu, kwa wale wajasiriamali wenzang na my fellow vijana wanaowaza kujiajiri na wale ambao wamesha anza kujiajir na wame advance katika stage nyingine tusaidiane kupeana dili...
Hi
If you look deep into Tanzania’s oil and gas sector, investment and business opportunities are immense. Sadly, most of us (Tanzanians) don’t know how to access such opportunities.
Is not our...
Available data from the EAC secretariat show Kenya investments in Tanzania top $1.2 billion (Sh108 billion) as of April this year, making it the second foreign investor after Britain. In the...
Mimi ni wakala mgeni
Kwahyo sijawahi kubadili float
Kwa line 2
Tatizo langu
Kuhusu kwenda bank kubadili float ili kupata cash
Nliende crdb nikaone usitoe pesa km hauna kitambulisho...
habari wanajamvi,
kuna shindano flani nimeshiriki na nimeshinda, ila zawadi zao wanatoa kwa gift codes za amazon.com, nimeshaingiza hiyo gift code kwenye account yangu ya amazon, ishu inakuja...
Heshima kwenu wakuu,
Naomba kujua gharama za kuingiza mzigo hasa unaohusu vifaa vya solar na betri zake kutoka Urusi.(Estimation of tax) nini wanachokiangalia wakati wakitoza kodi?
Nina jamaa...
Wanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa BOT hapa jijini Dar es Salaam ambapo kunafanyika kongamano kubwa la kibiashara kati ya India na Tanzania ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu.
KONGAMANO LA...
Habari wadau? heshima yenu wote. Naombeni kujuzwa juu ya namna ya kuanzisha magazine, natakiwa niende wapi na vitu gani katika mamlaka? na pia naomba kufahamishwa printer yupi anafanya kazi nzuri...
Wanajukwaa habari ya muda,
Naomba kuuliza, huduma ya mpesa unakuwa na line moja ya kazi au lazima uwe na laini mbili
Mwenye ufahamu tafadhali anijulishe
Kwa yeyote Aliye mwanza au anatembelea Jiji la mwanza napenda kumkaribisha endapo atahitaji usafiri wa kumzungusha kwa shughuli zake.basi awasiliane nami kwa namba 0742265564.atapata usafiri wa...
By ERICK KABENDERA
Posted Saturday, July 9 2016 at 13:14
IN SUMMARY
Background
Shell officially acquired the BG Group stake in a $55 billion deal , touted as the biggest energy deal in more...
Naomba ufafanuzi namna ya kupata line hizo Na faida zinakuwa vipi kwa mfano ukiwa unamtaji wa 1,000,000 Na Unao wateja wakawaida wakutoa Na kuweka kwa mwezi commission unaweza pata kiasi gani?.
Kampuni ya JC&MD CONVERGENCE MEDIA LTD, wachapishaji wa Jarida la Matangazo na Habari GLOBAL LINK ADVERTS wanayofuraha kukufahamisha mambo ya fuatayo÷
1. Toleo la kwanza la Global Link Adverts...