I. Price Chart
II. Average Price Watch
The Average Price Watch is solely to determine how price deviate from the closing price. If the closing price is higher than the average, it implies the...
Ndugu wana jf wenzangu, naombeni anayejishulisha na mada hapo juu aweke contact hapa ili wanajf tufaidi pamoja fursa zilizopo na zinazotarajiwa.
asaanteeeeeee
Kampuni moja ya uingereza inatarajia kuweka kifaa kinachodhibiti matumizi ya fedha kwa kuwapatia wateja wake mshtuko wa umeme iwapo atapitisha kiwango cha matumizi yao.
Kampuni ya Intelligent...
habari wandugu
naomba kuchangia jambo moja hili la kuongeza kodi hili kulinda uzalishaji wa ndani..katika economics esp Trade economics hili swala limeongelewa sana sana...na katika watu...
Watu waliogundua uwezo walionao, upekee na umaalumu na kuutumia kwa manufaa yao na ya jamii yao ndio waliofanikiwa zaidi kwenye ulimwengu wa leo.
Vipaji walivyonavyo vimegeuka kuwa mashine ya...
Habari za shughuli, kinywaji hiki kinauza sana hapa Tanzania. Lakini mbona katika Soko la hisa hakionekaniki kama wanafanya biashara yenye faida au ndio tabia yetu kufanya biashara bila rekodi au...
I. Technical Analysis on weekly chart.
Technical analysis summary
The weekly price chart technically shows a very huge potential USDTZS pair to correct the upward bullish rally that started...
Ndugu zangu nimekuja naomba msaada wa mawazo.
Ni nawaza kusafirisha samaki wakavu nchi za jirani kama Kongo, aliyewahi kufanya biashara hii nisaidie mawazo
Salamu za mwezi mtukufu ndugu zangu. Naomba kuchukua nafasi kuulizia kwa wale wenye uzoefu, kuhusu malipo ya wakili pale unapotaka akusimamie mkataba wa mauziano ya nyumba, kuna kanuni yoyote...
Mkuu, mara kadhaa nimesoma Mada kuhusu Hisa, na elimu ilitolewa ilinifikisha mahali pa kudhani kuwa nimepoteza. Kama yupo anayejua lolote kuhusu Kampuni hii anisaidie kwani nina Hisa zangu tangu...
Villagers spared eviction as Tanzania halts $500 million energy project to save wildlife
Mon Jun 6, 2016 4:27pm GMT
By Kizito Makoye
BAGAMOYO, Tanzania, June 6 (Thomson Reuters Foundation) - In...
Naleta kwenu wadau.
Kuna rafiki yangu mmoja mfanyabishara. Alilipwa fedha zake kwa hundi (cheques). Drawers' Bank ni za Marekani na mlipwaji ni Mtanzania. Aliwasilisha hundi zake kwa ajili ya...
niko katavi nimeajiriwa kwenye kampuni fulani,mshahara kwa mwezi sh 300000 tatizo nashindwa kupanga bajeti hata hivyo nina mke na mtoto na nimepanga vyumba 2 vyote kwa sh 50000,nisaidieni jamani!
Kuna Video inazunguka kwenye whatsapp ikionyesha wabunge Heche na Magdalena Sakaya wakiishutumu Fastjet kwa "kuwaibia" wateja kwa kutoza gharama za maji na mizigo, n.k kwa bei kubwa. Nimeona...
AUS200
Dominant bias: Bullish
This market is in a precarious situation. While the bias on it is bullish, bears are very active in it the present, and this has made short-term bearish signals to...
Wakubwa habari,
mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2016, sijachaguliwa JKT, kwa sasa nipo Dar, nini nifanye kwa mtaji wa laki moja ndani ya hii miezi kabla ya kwenda chuo,
Msaada wenu...