Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakala wa Vipimo nchini (WMA) imewaonya wafanyabiashara nchini watakao fungasha bidhaa zao kwa mtindo wa Lumbesa watakumbana na adhabu kali ya kifungo cha miaka mitatu hadi saba jela pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJ Nlikua nina shida ya mtu ambae ana Hotel ambayo anajenga au ambayo inafanya kazi hadi sasa nilitaka niwe Supplier wake wa Items
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu mimi nimeajiriwa kwa mkataba kwa mtu binafsi huu mwaka wa tatu. Take home ni 900,000 Tsh. bosi wangu ana wafanyakazi 10. Je, kuna benki inaweza nikopesha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD went downwards last week, closing below the resistance line at 1.1250. There is a bearish bias on the market...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Wanabodi mimi ni mfanyabiashara nina biashara nyingine tofauti ila napendelea kufungua biashara moja mpya kati ya maize flour processing na water processing na nilishafanya mawasaliano...
1 Reactions
0 Replies
615 Views
Wewe unafanya kazi ofisi A, ulikuwa unawafanyia watu huduma nzuri kwa bei ya elfu 10, na watu wanajua ofisi A wanatoa huduma nzuri kwa bei ya elfu 10, sasa baada ya muda akaja mfanyakazi mgeni...
0 Reactions
6 Replies
892 Views
Wapendwa naomba muongozo. Ninataka kufungua duka la urembo. Nimekwisha pata frame na kila kitu tatizo sijajua kuhusu vibali na usajili ninaanzia wapi? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada jamani, kupata leseni ya biashara TRA, kwa biashara ya M-PESA, ina cost tsh?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu. Kama wote tujuavyo, sukari imekuwa gumzo kwa sasa. Naomba anaejua namna ambavyo kibali/vibali vya kuingiza sukari vinavyopatikana anijulishe. Je taratibu zikoje? Hasa kwa...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
ASALAM ALEYKUM MAMILIONEA... Mimi ni muuzaji mkubwa wa mitumba..so called used cloths. Nataman kuagiza mwenyewe bales/ balo naona kununua mnazi mmoja naibiwa ila mtaj wangu si mkubwa. Mwenye...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
“Trading can be a matter of probabilities. Sometimes you'll be at the right place at the right time; at other times you won't. That's all right. If you are consumed with perfection and finding the...
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Habari zenu wadau. Naomba kujuzwa kwa wafanyabiashara wa hapa ambao hupeleka bidhaa Namibia kushirikina taarifa za kibishara .Nimelenga zaidi kwenye mazao ukizingatia nchi hiyo asilimia kubwa ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Vitabu App ni application maalum ya simu ambayo itatumika kama sehemu ya kuuzia vitabu ya aina mbalimbali. Ni app iliyo chini ya kampuni ya Mindtap Tanzania Limited inayomilikiwa na watanzania...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Kwa makala nyingi zaidi za uwekezajia embelea tovuti yetu: Uwekezaji Tanzania ( Bofya Hapa) SIKU: Jumanne, May 24 saa 2:30 Asubuhi MAHALI: Julius Nyerere International Convention Centre -...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
watu hudhani mtaji ndyo hitaji kuu la biashara.... naweza sema kweli lakini its A VERY BIG NO. niulize kwa nini....
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo naomba niongee na wanaJUKWAA ambao bado wapo kwenye ajira ila haziwaridhishi na wanataka kuingia kwenye biashara au ujasiriamali. Kwanza nikupongeze sana kama wewe ni mmoja wa watu hawa ambao...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari, Ninahitaji kununua gari tajwa. Nataka kufahamu bei yake kwa show room za Dar au itagharimu bei gani kuagiza.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwa kawaida mambo yanayotuharibia "direction ya maisha" ni yale yanayotupa raha kwa muda mfupi lakini huwa yana madhara mengi kwa baadae. Kwa mfano; kuangalia "movies" kwa masaa inakupa raha ya...
25 Reactions
48 Replies
8K Views
Dar es Salaam, May 2016:Huawei Device Tanzania has continuously been exploring new methods to satisfy its customers by providing world class device solutions closer to them. To serve their...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina nyumba ambayo bank wamekubali kunikopesha million 200, je ni biashara gani itakayo nilipa fasta yaani zaidi ya mil 10 kwa mwezi!
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…