Vijana wengi hasa graduates huwaza kuwa wakipata kazi na kulipwa mshahara watakuwa matajiri. Ndugu kama una mawazo hayo yafute.Huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kulipwa shilingi laki sita...
Moja ya siri zinazoweza kukusaidia kufanikiwa katika biashara ni kuweza kujifunza kutoka kwa wafanyabiashara Waliofanikiwa. Ni busara na vyema sana kuangalia waliofanikiwa katika biashara...
#TUNAANGAZA_FURSA
AJIRA YANGU BUSINESS PLAN COMPETITION.
Kuhusu Ajira yangu Business Plan Competition:
“Ajira Yangu Business Plan Competition” ni mpango mkakati wa kutatua changamoto za ajira...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
EURUSD went upwards on Monday and Tuesday, topping at 1.1615. Since then, price has come down by over 200 pips, closing at...
Wanjamii, salaam.
Nashuhudia minenguo ya matangazo mengi ya biashara hasa kwenye haya magari matangazo hapa mkabala na barabara ya Moro hapa magomeni.
Kinachoniacha sinto ni minenguo kutohusika...
A Crucial Question from All Traders
A positive expectancy method makes you risk less than you plan to win; reverse the logic for a negative expectancy method. Therefore, a negative expectancy...
Kuna siku nilikuwa naongea na mtu akaniambia uchumi wa tanzania umeshikiliwa na watu kutoka nje ya tanzania yaani 70% ya uchumi wa tanzania ndo umebebwa na ambao sio ws tz sasa mm sijaelewa...
Mimi ni kijana, naishi Dar,nina digrii nataka kuanzisha biashara ya vitafunwa vya asili yaan mihogo, magimbi, viazi, ndizi n.k vya kuchemsha tu.
Tatizo ni mtaji wa kuanzisha biashara.
Natafuta...
Starting Friday, 15 April, 2016, all Emirates customers travelling in any of the airline’s three cabin classes on outbound African flights will benefit from the increase in free baggage allowance...
Wakuu naomba kupata hali ilivyo katika biashara ya kuuza unga wa mahindi.
1.Hasara na faida zake.
2.Changamoto zake
3.soko
4.Aina ya mahindi mazuri kununua.
5.Upatikanaji wa mashine za kukoboa...
Wadau mlio na uelewa wa mambo haya naomba ufafanuzi wa kuagiza used engine za Magari kutoka Japan au Dubai kwa kuzingatia bei, usafirishaji, kodi, ubora, upatikanaji, changamoto na kampuni...
Wakuu naomba kufahamishwa ni wapi katika jiji la Nairobi naweza pata mtumba classic(grade A) kwa bei ya jumla?Au kama kuna anayefanya biashara hiyo tuwasiliane kwa pm tafadhali.
Shukrani sana.
Wadau nimedhamiria kuanza biashara ya bodaboda .............nipo maeneo yaliyochangamka kiasi bodaboda zipo lakini nyingi SAN LG,SUN LG,BETTER, na jamii nyingine zinazofanana na hizo .....nawazo...
Kwa wale wenye mitaji midogo na wanayonia ya dhati ya kufanya biashara yoyote, hii ni kwaajili yako. Nibiashara nzuri ambayo inakufanya uwe na amani huku ukitengeneza kipato. 0763797853
Kwanza napenda kushukuru forum hii kuwepo ili kutusaidia kukua kifikra.
Natamani, na tayari nimefanyia kazi mawazo kadhaa ambayo yote yanaonekana ni productive in future, lakini kuna uhitaji...
KATIKA HARAKATI ZAKUBORESHA BIASHARA ZA WAJASIRIAMALI WADOGO HUSUSWANI WAMACHINGA VYUO VYA TANZANIA NA FINLAND VIMEKAMILISHA TAFITI 3 KATI YA NNE ZINAZOLENGA KUJA NA SULUHISHO LA KUDUMU. HAPA...
Inyweee wanajamvi, habari za kusherekea siku kuuu ya muungano? mwenzenu ndo nimemaliza kumwangalia Mh Makamba hapa TBC1 na adithi zake za kuadisiwa juu ya asili ya muungano wetu, kwa kweli...
Habari Zaidi ya Habari -Kongamano la Biasharra TZ na ...
TAARIFA KWA UMMA
Kongamano la Biashara Tanzania na Vietnam 09 Machi 2016, JNICC, Dar es Salaam
Kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya...