Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naomba kuuliza wapi nawezakupata mkopo wa bajaji hapa dar es salaam??
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Tunaitwa Ubunifu Maridadi Foundation kutoka Songea, Ruvuma, Tanzania, Ni foundation ya Kibunifu yenyekujiendesha Yenyewe Ikiwa katika Faundation Yetu Ni bunifu hivyo lengo na dhamira ni kutafuta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana Ukumbi, salam kwenu, mm ni mtz mjasiriamali mdogo sana, infact ndo naanza ujasiri. Nina maono ya kuikuza biashara yangu na kuwa ya kubwa. Sasa, naomba mnijuze, nini faida ya kujisajili na TIN...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari, nimekuwa nikisoma machapisho mengi sana hapa JF yanayohusiana na mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji na nimehasika kufuga, kwa kipindi ambacho nimeanza kufuga nimeweza kugundua kitu kipya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni mjasiliamali ninae shugulika na biashara za takarejea kwa mfano Machupa na Plastic chakavu nimejitahidi nimenunua mota na machine ya kuchakata na kutoa vipandevipande. Nguvu yangu...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish In the context of a downtrend, EURUSD consolidated throughout last week. One big formidable barrier to further...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
habari za saizi wana jamvi.. hope wote ni wazima.. mim ni kijana nipo nasoma chuo mwaka wa tatu nimepata pesa tsh. 1000000 nlikuwa nahitaj biashara ya kufanya ili nijiongezee kipato ili hata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ofer ofer ofer kabambe WALLPAPER WALLPAPER WALLPAPER sasa unapata Kwa 55,000/- tuuuuu Wahi offer hii ndani ya this week isikupite Upana 1/2m x urefu 10m Call/whatsap 0713691101/0769633450...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mwenye uzoefu na mazda demio generation, 2 ya 2005, napenda kujua uimara wake hapa bongo na upatikanaji wa vifaa. Pia gharama zake kuitoa bandarini. Ina 1.3L, CIF $2000
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Ndugu wana JF,mie na wenzangu tulipomaliza chuo tulikuwa na ndoto za kujiajiri ,yaani kuwa na kampuni yetu, ilituchukua kama miaka 2, tukafungua kampuni yetu tukiwa Directors 3, lakini baadhi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za jioni wana JF? Mimi ni mfanyabiashara, ndogo ndogo aina ya bidhaa ninazo uza ni bedshit, taulo, mapazia, n.k cha kushangaza nilikua nafanya biashara vizuri na kuniingizia kipato kiasi...
5 Reactions
83 Replies
11K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 6 “We do not have a crystal ball, so we do not know when this current losing period will end. However, we can look in the rear view mirror and...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Habari yenu JF members, nina shida ya 1 million mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Dhamana ninayo kiwanja ila kipo Mwanza kina hati miliki. Please naombeni msaada wenu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MATUMIZI ya fedha yanaongezeka kila kukicha wakati kipato chako ni kile kile, mshahara ni ule ule kila mwezi, lakini mahitaji yanaongezeka na majukumu yanaongezeka pia. Kuongezeka kwa matumizi...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu A4 ream paper ya aina ipi ni nzuri hapa tanzania? na bei zake zinaendaje? natanguliza shukrani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Kwa wale wanaohitaji kujiingiza katika biashara hii, natoa ushauri bure kabisa, mtaji wake ni mdogo sana ila marejesho ni makubwa. Kwa kuanzia Laki 400 tu kwa mwaka, unaweza kuanzisha biashara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kuagiza gari Japan lakini nataka niwahusishe maafisa wa TRA ili waone procedure zangu zote mpaka ninavyotuma $ 1600 ili niepukane na uplift zao za kupandisha mpaka dola $7000. Je...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF hamjambo? Nataka kuanzisha biashara ya Tigo pesa,m-pesa na airtel money.Nifuate taratibu zipi na niwe na mtaji wa kiasi gani? Naomba kwa wenye uelewa wa hilo anijuze
0 Reactions
0 Replies
3K Views
AS Tanzania Telecommunications Company (TTCL) plans to retrench 400 employees due to changes in science and technology, the Parliamentary Committee on Empowerment and Public Investment Capital has...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Hard disk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..
1 Reactions
0 Replies
701 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…