Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wadau ningependa kusaidiwa sehemu gani hapa dar ambapo yanauzwa mabelo ya sendo,ndala na yebo yebo za mtumba....mawasiliano yangu ni 0673 659759
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau kutokana na heading hapo juu, je ninunue hisa kias gan kutoka DSE na kutoka makampuni yapi na kwa garama kiasi gan?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza vyombo vya ndani,aina mbalimbali vya kisasa na kwa bei nafuu.
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Mercedes yazindua lori linalojiendesha Image captionMercedes yazindua lori linalojiendesha Amini usiamini huku watu wengi Afrika Mashariki wakilazimika kulipa mabilioni ya shilingi ilikujifunza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie ndugu zangu. Nna hekari 4 za miti aina ya pines zenye umri wa miaka mitatu (3) nahitaji kwenda kukopa bank na hayo mashamba yawe ndio asset katika huo mkopo na nahitaji 20ml. Je...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
It's getting bigger and better than ever, The third Darproperty Expo for the first time in Arusha (New Arusha Hotel). Save the date.
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Bei zetu ni kama ifuatavyo Bei ya ndoo ndogo ambayo ni samaki 30 HADI 35 Bei yake ni 50000 na gharama ya kutuma kwa ndege ni 10000 .samaki wanatengenezwa vizuri kwa kutolewa utumbo.na kuweka kwa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Nilianza kusikia habari kuhusu 3D printing na makeke yake tangu mwaka juzi, lakini sikuweza kuamin sana, et kwamba unaweza tengeneza chochote unachodesign na kwamba kuna viwanda had vya vyakula...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Wateja 24 waliotorosha makontena kufilisiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya YONO, Bw, Stanley Yono Kevela Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Yono Kevela amesema hayo jana na kuongeza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Za asubuhi wakuu?, Nataka niulize kuhusu gharama za kujiunga na mojawapo ya hizo kampuni Kama wakala.ningependa nipate ufafanuzi wa faida zake na jinsi gani wakala hufaidika Asante
1 Reactions
0 Replies
2K Views
I Currently work for a company that sends out a 3-4 High Quality! trade Alerts on a daily basis to its registered members and only a few minutes a day is required to manage and execute the...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Shehena ya bidhaa mbalimbali zenye viambata vyenye sumu ikiwemo dawa, vipodozi, vinywaji na vyakula ambavyo baadhi yake ni kutoka nchi jirani ya Kenya, vimekamatwa kisha kuteketezwa kwa moto baada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Government now taking measures to ensure that most citizens are empowered economically through creating a favourable business environment Prime Minister Kassim Majaliwa has a word with TIB...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali yaomba mapendekezo uanzishwaji viwanda Wizara ya Fedha na Uchumi imewaomba wafanyabiashara nchini kupeleka mapendekezo ya namna ya utekelezwaji wa miradi mikubwa ya uchumi. Imesema...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Kwa muda mrefu hii benki ilikuwa inafanya kazi kama taasisi ya serikali ya kukopesha kwa ajili ya maendeleo. Ilivyokuwa inafanya kazi kwa staili hiyo watumishi wake walikuwa wanajifanyia kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello! JF, Kwa majina naitwa Alex Hamis, ni mwanafunzi wa chuo kidogo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha lakini kwa upande mwingine ni kijana ambaye napenda kujishughulisha na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aise umesikia fursa hii ya shindano kwa wewe ambaye unayependa kuwa mfanyabiashara mkubwa? MO Entrepreneurs Competition ni mradi ulioandaliwa na Mo Dewji Foundation na Darecha Limited ili kutambua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Nipo katika hatua za katikati za kununua machine toka India,Nimeshampata supplier,tumeelewana bei ya bidhaa husika,na sasa yupo ktk hatua ya kunitumia proforma. Pamoja na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
World's Richest Lose $194 Billion In First Trading Week of 2016 Brendan Coffey bpcoffey Jack Witzig January 9, 2016 — 1:59 AM AST Share on FacebookShare on Twitter Amazon's Jeff Bezos...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za wikiend? Natumai wadau wote JF katika sekta hii mko poa, Mimi ni mgeni katika jukwaa hili japo nimekuwa nikipita mara kwa mara kujifunza kitu kipya katika maswala ya uchumi na biashara...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…