Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa muda mrefu tumeona taasisi mbalimbali za kiserikali zikitoa elimu au kujiweka wazi kwa umma kwa kuelezea madhumuni ya huduma zao kwa wananchi; kwa uchache hingera zao TRA, TANESCO, NHIF, NSSF...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Waungwana wana JF, nawapa salaam, Ama baada ya salaam, naombeni busara kutoka kwa wabobezi wa maswala ya kodi (kama nilivyoonyesha kwenye kichwa cha habari hapo juu). Naishi kwenye nyumba ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanajamii, hebu tupeane elimu kidogo, kwanini tunasema "profit and loss na siyo profit or loss" au "kufa na kupona badala ya kufa au kupona" kwasababu kinachotokea ni kimojawapo na si vyote viwili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BOT imemaliza kuandaa ripoti yenye orodha ya majina ya watu wenye mijihela huko benki za uswiss. repoti hiyo itatolewa kwa watu husika tu watakaoihitaji. kama Gavanna alivyosema. Ripoti hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni kigezo gani kinacho weza kufanya nikatozwa ushuru wa Tsh. milioni 18 kwa Minibus 15 seats/Van? Ford transit/ya mwaka 2003/cc 2402/ in are mbele Diesel; toka UK. Nisaidiyeni haya mahesabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Ushauri juu ya biashara ya bodaboda changamoto zake ushari wenu unaitajika.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Nimetembea mikoa mingi ya Tanzania na huduma ya cable television ni common sana na ni cheap kwa maana nyingine, naomba kufahamu je huduma hii hapa DSM ipo? Na kama haipo ni kwa nini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana e commerce.... Mwenye kadi ya payoneer naomba anipe experience aliipata vipi maana nimeapply more than three times ila haikuwahi kufika hadi leo hii.........nshaongea na customer care...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
3kw sawa na 3000 48v Uwezo wa Kuzalisha Umeme wa kutosha kwa matumizi ya nyumba ya kawaida, taa,fridge, TV, air condition, water pump. From USA from Germany or Italia 3kw 48v
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimekuwa nikishuhudia makampuni yanatoza huduma au kuuza bidhaa kwa dollar ndani ya Tanzania hivi hii ni sawa?
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer... Kama haiwaki au ipo slow, Ku-install Windows XP,7,8,10 au Apple OS. Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo Kariakoo mtaa wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral This pair experienced short-term upswings and downswings, with no directional movements in the medium term. Just like...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Ndugu zangu, Nimefikiria vya kutosha na nimepata wazo la biashara la kutengeneza na kuuza fanicha. Nimeamua nianze kwa kuajiri mafundi wanaoweza kutengeneza fanicha kama makabati, sofa, vitanda...
0 Reactions
28 Replies
16K Views
Naomba anaejua taratibu za kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali kupitia mtandao (online) anijulishe.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wa Salamu, Binafsi nina mpango wa kuanzisha gazeti la habari ambalo litakuwa linatoa taarifa za Kikanda katika mojawapo ya kanda za taifa la Tanzania. Nataka lijikite zaidi kwenye uchumi, kilimo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The truth is, MLM is the most rewarding Profession today. Many people are making fortunes. For that being the case, dont join any MLM company. Just make an analysis on the company before joining...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
New Year is here! Year 2015 was the most difficult year I’ve experienced in my trading career. For example, years 2007 to 2014 were easy for those who cut their losses, ran their profits and...
1 Reactions
1 Replies
604 Views
Habari yako Mwana jukwaa mwenzangu. Rejea kichwa cha Uzi hapo juu. Bila kupoteza mda.. Katika pitapita zangu kwenye mtandao nikakutana na hii kitu nikaona niwashirikishe wenzangu kwa akaeona...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
What's behind China's stock market meltdown? We examine the global panic surrounding China's economy and what can be done to keep it going. 09 Jan 2016 19:21 GMT | Business & Economy, China...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Wadau heshima zenu. Mimi ni mwandishi wa vitabu na jarida lakini sijawahi kuvichapisha. Nahitaji msaada kujua gharama za kuchapisha kitabu na pia gharama za kuchapisha jarida yaani printing and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…