Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Spectra Energy Tutaanza lini? Ingenusuru misitu/mazingira yetu.
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Heri ya mwaka mpya 2016. Samahani msaada kwenye tuta, nina maswali machache; 1. Naomba kufahamu kuhusu magari aina ya Caldina uimara, gharama ya kuimudu, spare ,usalama, mafuta. n.k 2. Je kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani habari za kazi. Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua makampuni haya ya bima ya kimataifa kama yako hapa Tanzania au yana agents/representatives wao. kama unayajua hata kama siyo yote naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu. Natafuta kununua kahawa kwa bei ya jumla ila sifahamu bei sasa hivi ikoje. Naomba taarifa kwa anayefahamu bei ya kahawa sasa hivi ikoje. Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Natafuta template ya kuhifadhi na kutrack business ideas, Unaweka business ideas,requirements,research ya soko,gharama za mwanzo,(cost kadhaa),estimation ya mtaji(of which inaweza kuwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu, naomba usaidizi kwa wale wenye uelewa wa tofauti ya vitu hivi viwili. Endapo mtu anataka kufungua kampuni je kuna tofauti kama jina la kampuni likiwa XXX COMPANY LIMITED au XXX LIMITED ?
2 Reactions
15 Replies
13K Views
Background on the Canada-Tanzania FIPA Negotiations: Canada and Tanzania have agreed to begin negotiations towards a Foreign Investment Promotion and Protection Agreement (FIPA). The parties...
0 Reactions
110 Replies
14K Views
Hello Wana JF, Naomba msaada, nataka kupata barcode, nawezaje kupata hii kitu.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
NB: Let us talk about our Holy Currency and not Politics. While walking today i noticed an exchange board and saw that 1 dollar = 2200/=. Where are we heading? i started asking myself. in...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Habari wadau, Ni benki gani nzuri naweza kuwa na save pesa zangu kwa ajili ya baadae yangu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwema ndugu zanguni? Mwaka huu nimeona nianze mapema tu kufanya savings kidogo za kiji mshahara changu nacho kipata. Mshahra sio mkubwa kiukweli ila nimeona ni bora nika CUT-OFF baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Crude oil has hit a 12-year low as the world’s supply glut shows no signs of easing despite increased global tensions. Brent crude dropped to $34.95 a barrel — the lowest since 2004 — as traders...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina ndoto za kuwa na kampuni ya mafundi umeme. Sasa baada ya kuserch jina BRELA nimeambiwa niende kwa mwanasheria kutengeneza MEMART. Suala lililonifanya nije hapa ni kuhusu share capital...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sembe na dona ziko nyingi mtaani! lakini sembe and dona ya JAJOJO ubora wake umeshinda zote. 1kg - 50 kg jumla na rejareja. Unga huu unatamba jijini Mbeya kwa sasa! wasiliana nasi 0715 966693...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya ..ama baaada ya hilo mimi nina maswali mawili la kwanza ni jinsi gani au ni hatua gani au inabidi nifanyeje ili kuanzisha kampuni yangu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilichokisikia kwa mkurugenzi wa shirika la Watumishi Housing Company. Ndg fredy msamwa; maelezo yake kama kweli wanajenga nyumba za sh. 30, 40 na 50. nadhani ukiritimba wa huyu jamaa ndg.Nehemia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nnimekopa muda nkambiwa NA sec kadhàa ntalipa 350. Nikiweka salio Gafla naongea simu imekata..natumiwa msg nimebakiza sec 61 Nikipiga aiendi tens ..hivi hizi 61 mnapeleka wapi ama aazikuwepo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…