Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar.
Wizara ya Nishati inashiriki...
Habarini,
Samahihi natafuta mtu binafsi wa kunifundisha kutengeneza sabuni za maji aina zote Shampoo's na vitu kama hivyo Gharama za ukufunzi tutaelewa.
Habari za Asubuhi wakuu humu ndani natumahi mko poa.
Sasa kama mada inavyojieleza hapo juu, mimi nimekuwa nikifanya utafiti mbalimbali hapa Dar es Salaam kuhusu biashara ambazo mtu ukizifanya kwa...
Project Consulting Services:
1) Project planning-identifying activities for financial and or social results
2) Project Management - identifying resources for the planned activities and methods...
Habari za wakati huu Wana jf
Niende mojakwamoja kwenye point, Mimi nipo mkoa x nataka kufanya biashara ya form six and round t- shirts za mtumba grade 1 ,mtaji wangu nilionao ni 400,000.Naombeni...
Wakuu habari za majukumu,
Naandika kwenye jukwaa hili kujulisha lengo langu la kutaka kuuza kampuni yangu ya ulinzi ambayo tayari imekamikika usajili.
Kampuni ilisajiliwa mwaka 2022 na kuanza...
Habari za leo! Ikiwa umewahi kufikiria jinsi nyumba yako inaweza kuwa na muonekano wa kipekee na kuvutia, Afro Eco Wood Designs ndiyo jibu unalotafuta.
Tunatoa huduma ya kudesign furniture na...
Habari! Pamoja na kazi yangu ya ulinzi, napenda kuwajulisha kuwa naweza kukusaidia kwenye mambo mengine kwa gharama nafuu. Hapa chini ni huduma zangu:
Mafunzo ya Kitaaluma: Unahitaji msaada...
Vijana wengi wana mitaji midogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza...
Mfuko wa wa uwekezaji wa pamoja a.k.a UTT mnamo tarehe 16/ 6 /2023 uliweza kufikisha thamani ya Shillingi Trillion moja na nusu (1,500,000,000,000/=).
Yaan kwa ufupi,mfuko huu umefika hadhi sawa...
WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA
-Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*,
-Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja...
Za asubuhi wananchi wenzangu na watafutaji wenzangu...
Leo nimeamua ku-share na ninyi Kikotoo changu changu nilichokiunda kwa kutumia Program ya Microsoft excel kwa ajili ya kunisaidia kudadavua...
Samahani wanajanvi. Naomba ufafanuzi nataka kuanzisha biashara ya kusaga na kukoboa mahindi. Hii biashara imesimamaje?
Gharama za kuanzisha mashine zikoje?
Kuna faida au hasara?
Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya...
Didier Drogba, aliyekuwa mchezaji na mfungaji wa timu ya Chelsea ya mpira wa miguu nchini Uingereza alikwenda mapumziko kwenye hoteli moja ya kifahari iliyoko ufukweni. Aliona magari ya aina zote...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate...