Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

I am a CRDB bank customer and a businessman. I secured a contract worth sh 280m and approached CRDB for some financing and they asked for a collateral. I provided my house worth 320m as...
8 Reactions
102 Replies
14K Views
The leader of a Middle Eastern nation was given a global competitiveness report showing that his country, despite being a major oil exporter, ranked very low in terms of global competitiveness...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
JAMANI..NAWEZA KUPATA ORODHA WAPI YA KAMPUNI ZILIZOKUWA BORA KULIPA KODI KWA MWAKA 2013, 14,15. nIMEGOOGLE LAKINI SIJAFANIKIWA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari. Nimepata tenda kusfirisha container 2 za transit kwenda Kigali. Tatizo sina c65. Sasa mwenye trailer naomba anikodishe. Nahitaji trailer 2. Ni pm au txt 0654000253
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni techno Y4, BEI 100000/= Ina mwezi mmoja. Nipo dar(kwa azizi Ali)
0 Reactions
1 Replies
827 Views
WanaJF kuna huu utamaduni wa kuuza chakula kwenye baa, badala ya migahawa. Nashindwa elewa kwamba serikali haioni kuwa inapoteza maduhuli? Hawa mama lishe wanakwazwa na hizi baa zenye kuuza hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika matatizo au vikwazo mbalimbali vya biashara na ujasiriamali kikwazo cha mtaji kimekuwa ndio namba 1 duniani kote. Ingawa kikwazo hiki kinaweza kutoweshwa na mambo mengine kama ubora wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Iphone 5 inauzwa iko kwenye condition nzuri haina scratch wala tatizo lolote specifications: internal storage 64gb colour : Grey price :550k serious buyer check me on 0657365636
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Habari wadau. Business partner anatafutwa (Project ya maji safi Ubungo) Mi ni kijana (me) 28yrs, graduate, mjasiriamali na mwajiriwa pia. Natafuta mtu, Taasisi au Kampuni ya kushirikiana...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Carina Ti ya mwaka 2001 inauzwa na ipo katika hali nzuri. Imetembea 113690kilometer.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
CANDID BOOKREVIEW Succeeding as a Trader after Learning the Necessary Facts and Skills This book profiles 22 renowned super traders from around the world. Great traders who know what it takes to...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Habari, Kwa wale wataalamu wa biashara, hivi biashara yako inatakiwa itoe faida kiasi gani ukilinganisha na pesa ulivyo invest (in terms of percentage). Kwa mfano, mimi nina biashara yangu...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Nauza htc one x bei 280,000 Ina 32GB Beats audio Accessories zote Bado mpya Nichek 0758728258
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Salaam wana Jamvi! Dunia sasa imekuwa salama na pia si salama ni wewe ndiye unachagua. Binafsi kabla sijachagua salama huwa nina risk 30% ya kidogo ili kuona salama ndani ya ninachofanya. Say...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
entrepreneurship....////???
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Biashara ya Vitenge. Natafuta bussnes Partiners mikoa ya Dar, Mwanza, Dodoma, Singida, Mbeya, Tabora na Shinyanga Nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza na kusafirisha vitenge kutoka Kigoma...
4 Reactions
30 Replies
19K Views
Hello, jina langu ni Kirumi, mimi nina umri wa miaka 25, Nawaandikieni ninyi kutoka Russia. Mimi kutoa wazo la ushirikiano wa faida na kutafuta watu tayari kwenda utekelezaji wa wazo hili. Asili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza laptops maarufa kama XO laptops or one laptop per children. The best interactive laptops in the market now. Ukitaka kuztafuta kuptia kwenye mtandao tafuta kuptia google engine one laptop per...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
If u wish to have a professional shared hosting quality in a free hosting package come and host with: Web hosting, domain names, VPS And experience the best service you can get ABSOLUTELY FREE...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Habari zenu wanajamvi, Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet, 1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli, Mfano leo kwenye website yako...
3 Reactions
154 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…