Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu. Katika pita pita zangu nimekutana na kitu mitandaoni kimenishtusha sana. Kumekuwa na fursa nyingi sana za fedha zimekuwa zikitangazwa kwa ajili ya wajasiriamali kutoka nje ya...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Wafanya bihasharawengi wa nchi za Congo, Zambia na Malawi wameona afadhali watumie bandari yaDurban South Africa au Walvis Bay ya Namibia kwa ajili ya usumbufu wanaopatakwenye bandari ya Dar na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf nilikuwa na wazo la kuanzisha kabiashara kadogo kakununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kwenda kuuza kwa wenye sonara hapo dar, kama kuna mtu anauzoefu na biashara hii changamoto...
1 Reactions
17 Replies
12K Views
Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs 2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs 3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na suala la elimu bure na inaonekana kqbisa kwamba elimu yetu hasa kwa shule za serikali itakuwa chini hivyo wanafunzi watahitaji masomo ya ziada kwa kasi ya ajabu ili kujiinua darasani...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Kwa habari nilizosoma nimesikia federal reserve ya Marekani ambao ni wahusika wakuu wa ku control mzunguko wa dola wanapandisha interest rate ya kukopa dollar. Hii ina maana dollar itapaa tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama heading inavyojieleza..naomba kuuliza carina used naweza kupata kw shlng ngap? Mana naendelea kujichanga changa mda c mrefu nahitaji kumilik hii gar...Ahsanten..
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Dakika chache zilizopita Banki kuu ya Marekani wamepandisha riba kutoka 0.25% iliyokuwepo mpaka 0.5% kwa mara ya kwanza baada ya miaka 7. .Oil imeshuka na sasa ina trade kwa dola 36 kwa pipa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
"Problems cannot be solved with the same mind set that created them" -Albert Einstein Wakati tunajiaandaa kumaliza mwaka, na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, changamoto zetu za maisha ni moja...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habar kinavojieleza Naomba anaefaham au ambae ashawah kufanya biashara ya smatphones na ELECTRA LINK LTD USA SMARTPHONE branch ya kenya ​ Wanatumia namba: 00254773036008...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mtu mwenye stationery anisaidie bei ya jumla ya hizi bahasha tufanye biashara..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau kwanza hodi hodi ndio mara ya kwanza.. Hili suala la ukitaka mlango wa duka unapewa bei kwa Dollar na unaambiwa mfano dollar 15 per square meter. Jamani hili jambo litaisha lini? Kwanini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau! Inaonekana kushuka kwa bei ya soda kume kuwa na impact kubwa sana kwenye soko! Sasa hivi ukienda sehemu nyingi kuna onekana kuwa na uhaba wa soda, hasa za pepsi. Nadhani hii itakuwa fursa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Digital color lab machine Wakuu kama kuna mtu anajua wapi zinauzwa machine mpya kama hizi au zinazofanana kikazi na hii hapa TZ anijuze. Nataka nijue Prices etc...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Hufaa kuweka maua artificial au fresh flowers na kuleta mvuto popote pale ofisini nyumbani maeneo ya jikoni chumbani mezani pa kulia sebleni vibalazani hata nje ya Nyumba nk. Majira yote Vipo vya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu!! Kama kichwa kijielezavyo hapo juu...Naomba msaada wa kupata mkopo wa laki 5 nitaweka vyeti vyangu (primary - chuo) as a security.. Ahsanteni.
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Here?s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Although the dominant bias on this pair is bullish, the bias is seriously threatened. After testing the resistance line at...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wadau, Mimi ni mtumishi wa umma. Nahitaji kuchukua mkopo usiopungua milioni 12 kwaajili ya kununua viwanja vilivyo kwenye miradi. Naomba ushauri wenu juu ya benki gani ninayoweza kupata mkopo...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Msaada:Taratibu za kusafirisha mzigo toka nje hasa kwa njia ya anga,naomba kuwasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Natafuta duka la urembo linalouza products za Bruno Vassari. Product ninayoitafuta inaitwa Corrective Cream
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…