Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 =...
Habarini wana JF, Maritz 2000 traders company limited ni wauzaji wa protective equipments zote kwa bei nafuu ikiwemo
Gloves
Mask
Helments
Safety boots
Overalls aina zote
Karibuni sana
Whatsapp@...
Hey, wapendwa
4M inatosha kufungua grocery?
Kama inatosha je vitu gani muhimu?
Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi?
Nafikiria kwenda field ili nipate...
Imekuwa kawaida kwa watu wa call center
Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja
Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu.
Tunajua sales is a game of number sio...
Hello money hunters!
Leo nimeona niungane na Tony robbins aliyesema",90%ya mafanikio ya mtu ni psychology and only 10% ni mechanics"
kwenye harakati za utaftaji psycholojia yako ina matter...
JUHUDI ZA SERIKALI ZAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO KUAMINIKA NA TAASISI ZA FEDHA
● Kiasi cha Shilingi Bilioni 10 zakopeshwa kwa wachimbaji wadogo kutoka CRDB
● Ni mkopo wa Mtaji,manunuzi ya mitambo...
Kwa zaidi ya 70% uwekezaji uliopo katika soko kuu la hisa Dar es salaam ni kutoka nje ya nchi...Taasisi au watu binafsi.
uwekezaji wa ndani bado ni mdogo kwani 0.3% ndiyo wenye uelewa wa soko la...
Kwa wengi wetu neno hisa ni neno tuliloanza kuliskia tangia udogoni,lakini hata hatuelewi lina maana gani,,,Hii ni kutokana na serikali kutoiweka elimu hii muhimu katika mitaala na kutupatia elimu...
Habari wan JF Natumai ni wazima,
Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani.
Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa...
Maandalizi ya Mkutano wa Wafanyabiashara wa Mifugo, Kilimo wa Tanzania na Comoro yakamilika
Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jumuiya...
Wakuu,
Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za...
Wakuu habari! bila ya kupoteza wakati niende kwenye maada husika wazo langu ni kufungua ofisi ya kuuza na kununua pikipiki amabazo zimeishatumika mtaani(used)
Ili ofisi iwe imekamilika kwa...
Wakuu habari ya leo.
Nina wazo la kununua guta la pikipiki kati ya Wanhoo au Toyo.
Nafikiria kumpa mkataba kijana kwa hesabu ya 20,000/= kwa siku kwa muda wa miezi 24. Eneo la kazi ni Tanga...
Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na...
WADAU WAITIKIA WITO WA RAIS DKT. SAMIA WA KUONGEZA THAMANI MADINI NCHINI
-_Waziri Mavunde aweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini Kinywe(Graphite)
-Zaidi ya Ajira 300 za...
Asalaam wanajamii wenzangu!
Mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani...
Ila matajiri wa bongo bwana.
wamekuwa motivational speakers kuliko uhalisia.
Tajiri wa kitanzania na mmiliki wa mabasi ya Super feo anasema yeye alianza na mtaji wa elfu 20 tu na sasa anamiliki...