Kama kuna anayefahamu bei za guta,upatikanaji wake na jinsi ya kufanya biashara nazo anijuze.Kuna mtu kanitonya kuwa zinaweza kuingiza pesa kuliko biashara ya teksi.
Pamoja na kuwapongeza Afri Tea and Coffee Blenders kwa kuja na bidhaa ya Uji bora, lakini Sukari ni nyingi mno, mmezidisha kipimo. Labda mtoe bidhaa nyingine isiyo na sukari.
Hongera kwa ubunifu
Habari wanajamvi,
Kuna mfanyakazi mwenzangu hapa ofisini alikopa kam mill.4 kwenye hizi financial institutions alitakiwa arudishe 5.6m pamoja na riba kwa muda wa miezi kumi...
Ni wasaa mwingine watanzania wenzangu tukibadulishana mawazo katika mtandao huu adhimu kwa mada motomoto, natumai mungu amewajalia heri katika shughuli zenu za kila siku.
Wote ni mashihidi kuwa...
Npo dar.nna laki 4 ya mtaji.npo chuo kikuu,nahitaji biashara ambayo haihitaji mda wangu mwingi ili niwe nasoma kama kawaida.nijikimu kwa mambo yangu,.nakaribisha mawazo yote
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS Part 8
To be successful in the markets, you need to control your emotions and only act rationally. Since we never learned this in school, 90% of the...
http://youtu.be/fpcvJiO-rjk
MUTUAL FUNDS
WATANZANIA TUNAHITAJI HIZI MUTUAL FUNDS KWA HALI NA MALI TUYASAHAU YA NICOL ILA TUANZE SAFARI MPYA
KWA MSAADA WA YOUTUBE TUNAWEZA KUANZA KUJIFUNZA...
Hivi kwa nini serikali isiingilie viwango vya kodi ya pango kwa minara kwa simu? Inaonekana kodi kwenye maeneo mbalimbali haina zinatofautiana na serikali inakosa hata kodi kwa vile wenye maeneo...
Wakuu habarini ndugu.
Ninaomba ushauri ninunue wapi kiwanja kwa sasa eneo linalofikika kirahisi mjini katikati,lenye huduma za umeme,maji,barabara za uhakika mpango wangu kujenga ghorofa moja...
Wakuu naomba kupata mawazo yenu juu ya bidhaa gani naweza kuprocess na kuzalisha hapa nchini,
Hasa ukizingatia nahitaji kutumia mashine rahisi na mtaji kidogo (usiozidi tsh mil 5)
Muhimu...
Ukienda SABASABA jipange na hela ya parking!! This season charge ni 10,000/= Jana nimelipia 10,000 kama huna cha kwenda kubeba better ukaacha gari hata huku TAIFA kuepusha usumbufu.
Parking ni issue
Kwa wale wa wenye biashara zao wanahitaji software kwa ajili ya kumanage.Wanahabarishwa kuna software package ambayo inapatikana.
hii nikwa wali wa:-
Mashuleni: kwa ajili ya kutunza maksi za...
Description.
In financing terms, fund to grow a business can be had from loans with a financial institution or from personal investment as well as from family and friends contribution. The family...
Ndugu wapendwa, Je ni kweli kuna mfumo wa kutumia udongo wa mfinyanzi kwa kuchanganya na cement kidogo ukapata tofari zitakazo saidia kujenga nyumba kwa gharama nafuu? Ukitembelea web site...
Helo, wadau nipo very intrested kufanya kazi na makampuni ya real estate, so nataka jua makampuni gn ya real estate hapa dar yanafanya vizuri kwenye biashara?
Habari zenu wakuu. Nataka kuanzisha biashara ya tours and travel, naomba muongozo wa kusajili biashara tajwa. Natakiwa kupita wapi na wapi mpaka nikamilishe usajili na estimated cost ni ngap...