Ninajaribu kufikiri kipi chaweza msaidia mtanzania kujitunzia akiwa, ikikumbukwa kuwa ni jamii ambayo haikuwa na utamaduni huo. Kama unaweza kutoa pesa M-Power kama vile unavyoweza kutoa M-Pesa...
kama kichwa kinavyojitangaza hapo juu natangaza kuanza mafunzo ya ujasiriamali kwa wale wananaopenda kufuga kuku.
Ni katika group la whatsapp nililoanzisha.
Ni kwa gharama ya sh 5000 tu elimu...
Wadau,
Mwenye uelewa wa hii biashara ya hereni na mikufu ya gold bandia (english gold) naomba anipe uzoefu kidogo hasa kwenye mtaji wa duka la wastani.
Jinsi ya kuhifadhi hizi...
Habar wadau!nauza Mayai ya kware, Nina uwezo wa kusupply tray 10 kwa siku, bei n shilingi 25000 kwa tray, kuanzia tray 5 n sh.20000.Pia kwa wale ambao hawajui faida za hay a mayai wanaweza...
Habarini wadau
Je inawezekana kama mtu alichukua mkopo ktk bank ya NMB na kulipa almost nusu ya mkopo na kuamua kuchukua tena mkopo mwingine (kiasi kidogo) ktk bank ya CRDB ikiwa hela inayobaki...
Habari zenu wanajamvi la biashara,
Naomba msaada wenu kwa kunielewesha ni sababu zipi zinazochangia kushuka kwa shilingi yetu na dollar kuwa juu sana kiasi kwamba mzunguko wa biashara umekuwa ni...
Kampuni ya TESOTEK inazo feni za kuchaji ambazo ni suluhu ya tatizo la joto linalowakumba watu wengi pale umeme unapokuwa umekatika. Feni hizi huendelea kufanya kazi kwa muda wa saa tano hadi sita...
Wana jamvi naomba mnisaidie vigezo vya kufungua kampuni ya finance, kwamba niwe na nini, mtaji,na nifanye nini, na mda wa kulipia mapato, na je isipo uza mda mrefu naweza fungiwa au, na kulipia...
Tanesco tumeambiwa na TRA kuwa Selcom amegushi nyaraka na kukiuka taratibu za kulipa kodi hvyo kimsingi amekuwa akiisababishia TRA na Serikali hasara kubwa. Na hili swala Mkurugenz wetu mkuu...
What are policy makers (Government and BoT) doing to make our shilling stable?
1. "If a factor increases the demand for domestic goods relatively to foreign goods, the domestic currency will...
Habari wakuu wa hili jukwaa,
Nina capital ya laki tano mbali na usafiri (Mwanza-Dodoma) malazi na and dharura nahitaji kufanya biashara ya sato waliokaangwa kutoa mwanza kupeleka Dodoma sina...
Jamani naomba msaada,kuna aliewahi kununua kitu kwenye website ya aliexpess na malipo kufanyika bila tatizo lolote kama wizi kwenye account yake ya bank?
Wadau. Shivacom na Alphatel ni wakala wa Vodacom. Kampuni za SHIVACOM na ALPHATEL zinatengeneza mamilioni ya shillingi kutokana na mauzo ya Vocha za Vodacom na bidhaa zinazohusika na simu za...
Ili tu kunogesha fleva za maisha, ni barua yangu ya wazi kwa uongozi wa Mall ya Mlimani City ambayo sasa ina mageti mawili ya kuingilia wateja wayaite Diamond na Ali Kiba... Hii itarahisisha kwa...