Habari,
Natafta contact za mtu yeyote ambaye anafanya bishara za kuagiza vitu kwa jumla Zanzibar vitu vidg vidg (house holds) na kuja kuuza bara.
au mtu anaeuza huko Zanzibar kabsa. kama unamjua...
Nimekuwa kwa muda nikijihusisha na uchimbaji wa germstone na kuyauza Arusha na Dar, pia hununua kwa watu na kupeleka sokoni. Lakini hapa juzi nimekutana na Mkongo aliyeniletea amethyst kidogo...
Yaani hawa jamaa mbali na kulamba kodi ya TRA. Kila mteja ambae alikuwa ananunu LUKU kupitia mtandao wao walikuwa wanakula 1000 hivi. Na hii ni zaidi ya miaka 5. Celcom wapo almost benk zote...
Smoking is the single largest preventable cause of disease and premature death in the United States. It harms nearly every organ in your body including your eyes.
SMOKING AND CATARACTS...
Mimi ni mmfanyabiashara ambaye hutengeza viatu vya kimasai hapa Tanzania na kuuza nje, kwa sasa nitafuta materia za aina kidogo tofauti ya ruber soles ambazo huwekwa chini ya sandals hizo kama...
Ukiangalia kwenye mbao za matangazo za "exchange rate" utaona "denomination" tofauti ambazo ni za "currency" moja zinauzwa kwa bei tofauti,mfano "USD 1 ,2 denominations" zinabadilishwa kwa bei...
KWA NINI UFUGE KWARE NA SIO WANYAMA AU NDEGE WENGINE WADOGO
Wakati unafikiria kufuga wanyama wadogo wadogo kwa ajili ya nyama na pengine mayai fikiria faida na hasara zifuatazo:
Sili (Guinea...
Habari za asubuhi wana bodi, mimi nna dollar 1000 ya Marekani ya mwaka 2003. Je, Ntabadilishiwa kwa kiwango cha sasa cha dollar au vipi, na ntapata wapi Bureau de Change yenye rates nzuri...
Nilihitaji kujua kazi ya " Insurance surveyor and loss assessor " ipoje na inalipa kwa hapa kwetu Tz ?.Naombeni msaada wenu wanaJF kwa mwenye uelewa na mabo hayo.
Habari wana JF,
Ninamtaji wakutosha kuanzisha boutique la nguo za watoto wa changa hadi miaka 5. Kwa wale wanao safiri kwenda China, dubai, thailand, nk naomba muongozo kuhusu ma supplier. Majina...
Kama huku kwetu sheria zinakuwa hivi (kama Indonesia), itasaidia kumaliza kabisa biashara ya madawa ya kulevya?
Indonesia gears up for executions as families wail in griefCilacap (Indonesia)...
Nina maswali mawili ya kuuliza;
(a) Ku establish biashara mmoja inachukua hadi iwe stable.
(b) na kuanzisha biashara baada ya awali inatakiwa u open kwa muda gani?
Nimeuliza hivyo nina...
Salaam wanajamvi,
Kuna project imeanzıshwa na benki ya posta ikılenga kusaidia vikundi kwa kutoa mikopo mbalimbali.Watu wanahimizwa kuunda vyenye ıdadı ya watu isiopungua 8...
Habari zenu wakuu!
Sorry, for some reason ninataka kubadilisha ownership status ya biashara yangu kutoka kwenye sole proprietorship kuwa limited company. Kama sehemu ya requirements ninahitaji...
Kampuni ya kimataifa ya Marekani -iitwayo Syntek Global imeleta fursa kwa wajasiriamali wa kitanzania kupitia bidhaaa ya kipekee iitwayo "xtreme fuel treatment"..kujiongezea kipato.
What is XFT...
Habari wana JF.
ninamtaji wakutosha kuanzisha boutique la nguo za watoto wa changa hadi miaka 5. Kwa wale wanao safiri kwenda China, dubai, thailand, nk naomba muongozo kuhusu ma supplier. Majina...
Tafadhali kwa anayefaham location ya duka la BBone Electronics, nimekutana na hili jina kwenye online shopping fulani but nataka niwatembelee siku moja.
Tunatoa huduma ya kuandika Business plan, Project proposal, Katiba za NGOs na Makampuni.
Pia tunatoa ushauri jinsi ya kuanzisha biashara, kuanzisha NGOs na Makampuni.
Wasiliana nasi kwa simu ...