Ningependa kujua bidhaa zetu za Kitanzania zinazotengenezwa na watanzania. Tuzitaje hapa mahala popote ambapo zipo bila kujali ukubwa wa uzalishaji....
Mimi inaanza;
1. Sabuni za gwanji (nyingi...
Hebu angalia hii kwa wenzetu Ufilipino bei rahisi mpaka unaogopa, hzi hapa kwa vyumba viwili vya kulala, sebule na jiko haizidi 50M, tena unalipa kwa miaka minne, unalipa around laki tano tu kwa...
Hi wadau,
Kama unajua mtu ambaye amewahi kuchora mchoro wa kiwanda kidogo eg cha kuproduce bidhaa mbali mbali kama vyakula, maji, nk yani plant layout, format ya kiwanda na related.
Thanks
Huwa naipitia hii page mara kwa mara lately, sasa leo nakutana na hili; Hivi kweli gari dola 27? Na utalitoa vipi bandarini au ndio litapigwa mnada? Sidhani kama wapo siriaz.
Naomba kujua juhusu madini jamii ya Copper kama Azurite.
Upatikanaji wake hapa Tanzania
Uchimbaji wake
Matumizi yake
Bei au thamani yake
Wanunuzi wake wakuu hapa Tanzania
Madhara yake...
Habari zenu wakuu.
Wakuu naomba kujulishwa,hivi mtu ukijenga nyumba kuanzia msingi mpaka usawa wa linapoanzia dirisha kwa mwezi mmoja je kitaalam kuna madhara yeyote?
Nauliza sababu nimezoea...
Hebu ndugu zangu naombeni ushauri na maoni yenu katika hili. Katika nchi zingine mtunzi anaweza akatunga script ya mchezo wa sinema/maigizo au nyimbo, akatunga kitabu, nk na kisha kazi hiyo...
Hivi karibuni wizara tajwa hapo juu wametangaza vijitenda vya ku supply vitu mbali mbali. Lakini mashariti magumu yaliyowekwa kwa mshiriki, kuna nitia wasiwasi kuwa kumefanywa kwa makusudi ili...
Zao la Korosho
KWA UFUPI
Ni baada ya kubainika kuwapo kwa vitendo vya kubadilisha madaraja ya korosho wakati wa kusafirisha.
Mtwara. Wakulima wa zao la korosho nchini wako hatarini kupoteza...
Habarini wadau
Kijana wenu nataka kua mjasiria mali.Nataka nianze ku supply kuku wa kienyeji kuku wa nyama katika mahoteli na migahawa mbalimbali.Point;Sitaki kuwa mfugaji bali nataka nikusanye...
Habari zenu wakuu.. Kama bandiko langu lapo juu linavyojieleza nahitaji msaada jinsi ya kukamilisha upatikanaji wa mkopo tajwa manke nimehangaika sana na sasa ni kama naelekea kukata tamaa...
Inashangaza katika zama hizi za ushindani na utitili wa mabenk na financial institutions unaoomba mkopo unachukua zaidi ya miezi mitano! na sifa zote unazo au ndio mfumo wa wafanyakazi wenu kuomba...
Moja ya mijadala ambayo kwa muda
mrefu imekuwa ikigonga vichwa vya
Bloggers wa Kitanzania, ni hili la
kuhusiana nah ii huduma ya
Matangazo ya mtandaoni
inayoendeshwa na kampuni ya Google...
habari zenu wadau wa jf...nikiwa kama mjasiliamali naja kwenu kwa lengo la kunua biashara ya mtu yoyote, ambaye kwa sababu mbalimbali ameshindwa kuendeleza hiyo biashara..nachukua kama fursa ya...
Kutokana na mpango mkakati wa serikali wa mwaka 2012 mpaka 2017 ambao unalenga upanuzi wa makazi katika mikoa mbalimbali, kumekuwa na ongezeko kubwa la majengo ya makazi, majengo ya ofisi na...