Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hivi ni forms zipi zinahitajika wakati wa ku transfer title deed toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine? Nimetembelea website ya wizara sioni kitu Usajili wa Hati na Nyaraka
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Star Times hawasomeki, ushindani wa biashara umewabwaga. King'amuzi chao 'NO SIGNAL'. Wadau nishaurini nihamie king'amuzi kipi? Hata wakirekebisha nahama. AZAM vipi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sijawahi kuelewa hii Bank ina tatizo gani kuna siku around Dec mwaka 2014 watu wameshindwa kuchukua pesa zao kwa siku tatu mfululizo kisa ni networks...siku tatu mfululizo... unbelievable....na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanabodi, Nimekutana na hii taarifa ya Mkutano wa Vijana ambao wanafanya Kilimo biashara na Maonyesho ya technolojia na vifaa vya kilimo ambayo yanafanyika kwa mara ya pili hapa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kampuni za simu za mkononi Tigo na Vodacom zimeungana pamoja katika utoaji wa huduma za fedha kwa njia ya mitandao ambapo kwa sasa wateja wa kampuni hizo watanufaika na huduma za upokeaji na...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Habarini wanajamvi Mimi ni mfanyakazi mpya sehemu flani kwa mwezi wa 5 sasa ila nimeting'wa na ishu ya haraka inahitaji hiyo pesa. Kama kuna anaeweza kunikopesha kwa makubaliano genuine yenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The most anticipated Property Expo is here. Get all the information you need on the biggest event in Real Estate in Tanzania
0 Reactions
2 Replies
848 Views
wana jamii forums. Naombeni kusadiwa nataka kupanua wigo wa biashara zangu, hasa kwa upande wa Visiwani Zanzibar sasa nisadie nikitaka kwenda kuuza mazao kule hasa mpunga na maharage bei zao...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jamiiforums. Kampuni ya ASSA AGENTS & Co. iliyopo Temeke Buza inataka kuwawezesha kiuchumi wananchi wa kipato cha chini kwa kuwapa mtaji na elimu ya msingi ya biashara, lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya vipodozi kwa mtaji wa 1milion nna frame tayari,kwa huo mtaji unatosha kuendeshea iyo biashara.Nnipo geita na nafikiria bidhaa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu, Hivi wakuu hizi nyumba wanauzaga shilingi ngapi?...tu assume self ya vyumba vitatu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za jioni wana jamvi, ningependa kuuliza kwa yeyote mwenye kufahamu taratibu mahsusi na hata za jumla katika uanzishwaji wa soko la kubadilisha fedha. Nistashukuru nikifahamu ni nyaraka gani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
MasterCard and National Microfinance Bank (NMB), Tanzania's largest bank, today announced an issuance agreement to roll out 1.5 million MasterCard payment cards that will assist in reducing cash...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
If there is revolution happening in the business world is the rise of the networking marketing business as new model for distribution of goods and services in the world. Unlike the traditional...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anayehusika na kiwanda cha simba cement au anayejua naomba anipe taarifa. Wanatangaza punguzo kubwa la bei ya hii bithaa yao Sh. 11,800/= kwa mfuko. Mimi nipo moshi nahitaji cement...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Suala la kupewa MB 8 kwa kila kifurushi mnalionaje wana uchumi. Mi naona ni uonevu kwa mteja. Bora tuhamie airtel ucku bure.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana Jf. Naomba mwenye idea ya wapi hizi mashine zinapatikana kwa bei nzuri kwa hapa Tanzania, plz tuwasiliane haraka hapahapa au kwa PM au kwa +260973050218. Msaada wenu tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa anaefaham namna ununuzi unafanyika naomba anijuze, pia tofauti ya bei ya bizaa ikoje pindi inapokua imemfikia mteja ukilinganisha na bei za ndani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
﷽ You are a busy business man. You havea presence in several locations around the country. You also travel a lotlocally and abroad. You have competent and...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Toka jana mchana umeme haununuliki kwa wale wanaolipa kabla hawajatumia Luku. Tunaambiwa kuna tatizo la network, jibu rahisi kabisa. Foleni kwenye vituo vya kuuzia Luku ni kubwa kila mahali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…