DarProperty mortgage is a mortgage brokerage service provided by DarProperty Tanzania, this service give an application a wide knowledge, advice, support and guidance about mortgage finance in...
Sepon Limited huduma zetu za umeme wa solar na backup system zinazidi kushika kasi kwa ubora, tunakufikia mteja popote ulipo na kukupa huduma bora kwa warranty ya mwaka mzima na huduma ya bure...
Wapendwa naomba mnisaidie;
Nataka kusajili NGO inayohusu kusaidia watu wenye Mental and Physical Disabilities. Zitakuwa kuwa kama Home Care but more kama family, aim is to share life together...
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kuagiza nguo na kofia kutoka china. Sana sana ningependa kujua kaisari (TRA) anachukua kodi asilimia ngapi ya mzigo wanguo unaouingiza. Ningafurahi kama ningejua...
Ni matumaini yangu moo salama salimini.
Mimi ni Kijana mwenye nguvu na ninayependa kujishughulisha sana.
Natakiwa Nihame jiji moja Maarufu (Mwanza) na kuishi Masasi- Mtwara, kutokana na sababu...
Wadau wa Jamii Forum habari zenu!
Ninamalizia kazi ya kufanya Market survey ya magari Tanzania. Katika survey hiyo pamoja na mambo mengine nahitaji kujua idadi ya magari mapya yaliyonunuliwa...
Kama una uzoefu wa kufundisha drama , muziki au ngoma za htamaduni na ungependa kazi maeneo ya Kibaha Maili Moja-Kwa Matias Kibaha, niandikie barua pepe - resbijura@yahoo.com. Kuna opportunity...
CPM Business Consultants, ni Kampuni inayojihusisha na kutoa ushauri wa biahshara kwa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa. Pia inatoa ushauri kwa wa uendeshaji wa Mashirika yasiyo ya...
Wadau
Natafuta notes za zamani za Tsh 200 zilizokuwa na picha ya Nyerere kwa mbele na nyuma yake jamaa wanavua samaki kitu kama hicho!.. nitanunua kwa bei nzuri ya maelewano!!!!
Unaweza kujifunza kitu kwa awa vijana wenye umri chini ya miaka 30 lakini kwa ubunifu na juhudi zao wamefanikiwa kuwa matajiri.
LORNA RUTTO,Mkenya
Ana miaka 28 ndio mwanzilishi wa ECO POST...
Wazo langu ni kufanya biashara ya Nguzo za Umeme, hapa Mufindi tumejaaliwa miti mingi ambapo tumekuwa tukitegemewa sana nchini pamoja na nchi jirani ya Kenya. Kama ningewezeshwa ningeweza kununua...
Sepon Limited inakupatia umeme wa solar na umeme wa backup iwe nyumbani au ofisini, Tunatoa huduma zetu za umeme wenye uhakika mikoa yote ya Tanzania bara na Visiwani.
Tunatoa free service mwaka...
Kwanza kabisa napenda kumpongeza Rais wetu kwa hatua kubwa aliyofikia na kubwa zaidi ya yote ni hili la sera mpya ya elimu.Siku zote nimekuwa naamini hakuna mapinduzi makubwa duniani kama...
Kuna tofauti kubwa sana ukichukua 0-0=0 na ukichukua 100-100=0, kwa mtazamo wa kawaida unaweza usiione tofauti maana majibu yote ni 0.
why that example?
Nimekua nikichunguza watu wanaokwenda...
Habarini wanajamvi,
Mimi ni mfanyakazi mpya sehemu flani kwa mwezi wa 5 sasa ila nimeting'wa na ishu ya haraka inahitaji hiyo pesa.
Kama kuna anaeweza kunikopesha kwa makubaliano genuine yenye...
Wataalamu wa mambo nisaidieni kukokotoa mahesabu ya kodi ya kulipata hili gari likifika bandarini hadi kwenye mikono yangu.Please mote that FOB $450, CIF $1718..Nimejitahidi na HY TOOL...