Wiki kadhaa zilizopita vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania, vilitawaliwa na habari ya mwanadada Jokate Mwegelo kuingia mkataba wenye thamani ya shilingi Bilioni Nane...
Wadau kwa yeyote anayejua kiwanda kinacho/weza kutengeneza hii kitu, Please msaada. Hizi ni preforms kwa ajili ya kuweka kwenye mould na kuzipuliza kupata chupa.
FANYA HAYA UTAFANIKIWA SANA KWENYE BIASHARA
Watu wengi wanaanzisha biashara, watu wachacahe wanafanikiwa kwenye biashara, usishangae unaweza anzisha biashara na usifanikiwe ukaanza kumtafuta...
Waungwana habari za wakati huu;
Kwanza nianze kutambua na kupongeza kwa dhati michango na mawazo mbalimbali ya wanajukwaa, ambayo Imekuwa msaada mkubwa na dira katika maisha yangu na wanajukwaa...
habari wakuu
nina mpango wa kusajili kampuni ambayo itajishughulisha na biashara kama kuchukua tender na kuchukua bidhaa na kuuza kwa faida na isiwe specific kwenye bidhaa moja bali bidhaa mbali...
msaada utaratbu wa kubadilisha na kusajili namba mpya za piki piki upo vip?
kama piki piki haijalipiwa motor vehicle ukienda kubadilisha utaratbu upo vip?
Wakuu wanaJF, bila shaka tuna maarifa mbalimbali ambayo naweza sema hutokana na elimu zetu tofauti. Kwa maana hiyo tunaweza kubadilishana uelewa.
Tunajua fedha zinatengenezwa, na zingine...
Wadau naomba kufahamishwa au wahusika mnisaidie kunijulisha taratibu za mtu akitaka Kuvusha Border;gari la matangazo ambalo wamelibrand Stickers na Logo za Kampuni na Spares zake..je gharama...
Ninataka kufungua Travel Agent kampani ambayo itakuwa inahusika na kufanyia watu booking za airticket, booking za hotel, kukodi magari pamoja na safari kuandaa trip mbali mbali kama kwenda Arusha...
Nawasalimu!
mteja wangu anahitaji gari kati ya toyota liteace noah au nissan serena. wadau naombeni ushauri kati ya magari haya mawili lipi bora zaidi kwa matumizi ya familia sio biashara...
Kama unahitaji mkopo wa dharura tuwasiliane. Muda wa mkopo ni mwezi mmoja tu. Riba kwa mwezi ni kati ya 20%- 30% kiasi kamili cha riba kinajadilika kulingana na ubora wa dhamana. Dhamana ya mkopo...
Tunakopesha hadi shilingi millioni tano hii ni kwa wakazi war Dar Tuu,
Bondi Nyumba au Kiwanja
Kwa pesa chini ya Millioni moja unaweza chukua udhamini kwa mwajiri wako (Kama usipolipa Mwajiri...
kuna online portal kwa ajili ya wajasiriamali wa africa mashariki ambapo unaweza kupata fursa mbalimbali za kibiashara na pia wanakupa chance ya kuweza kupost free kama unatafuta...
Habari zenu wanajukwaa...
Kwanza kabisa ninapenda kuwapa pole kwa majukumu ya hapa na pale kutokana na mihangaiko ya kuweza kujikwamua na huu umasikini
Mi ni mjasiriali na nina ndoto nyingi sana...
HAWA JAMAA MAREKANI WANAWAOGOPA SANA kwasababu walishawaliza sana kwenye mitandao na kuwaibia mapesa sana kwenye mabank. sasa wamejaa mitaani sasaivi, uliza bodaboda yeyote akupeleke kwa mnigeria...
Kwa nini kodi za nyumba dar es salaam ni kubwa kuliko nairobi, kampala, kigali etc?
Living and doing business in Dar es Salaam, the country's commercial capital, is becoming ‘a nightmare'...
Imesaidia kuonyesha upuuzi wa serikali kwa wananchi. Serikali inapoteza mapato makubwa. Wafanyabiashara / wananchi wamedhihirisha wana nguvu kuliko serikali waliokosea kuipa nchi. Machine za EFD...