Habari Wadau naomba msaada kwa yule anayefahamu programe ambayo itanisaifia kupunguza picha za passport size kwa wingi mara moja mpka 4KB ambayo NECTA wanazitaka kwenye usajili wao wa kidato cha...
Habari wakuu, natafuta bajaji ya kubebea mizigo maarufu kama toyo, hivi dukani bei ni shilingi ngapi kwa sasa.
note: maduka ya kuaminika maana kuna jamaa huwa wanaziagiza kwa exemption then...
Habari wanajamii!
Ninahitaji kuagiza gari aina ya spacio msaada wenu wa mawazo unahitajika.
Niagize gari kutoka Japan au UK?
Gari kutoka Uingereza itaweza kumudu hali ya barabara zetu kama za...
Hello wana Jamvi, naomba mwenye UELEWA wa namna MTU anaweza kupata KAZI ya udereva wa gari za IT; Dar-malawi au DAR-ZAMBIA/TNDM/CONGO; GARI ndogo na za wastani; nina leseni valid; nina muda wa...
Kama mada inavojieleza hapo nimepoteza Receipt ya fees Ya chuo yaani baada ya kulipa bank kwa account ya chuo unaenda kupeleka receipt chouni ya bank na sikuwahi kuitoa copy hivi nikienda bank...
Natafuta mtu wa kunifanyia mentoring or coaching katka harakati zangu za kuanzisha pre-primary school and hatimaye primary school. Ataifanya kazi hiyo tangu naanza mradi hadi tuhakikishe mradi...
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati
za kusukuma gurudumu la maisha.
Wakuu mimi nina pesa lakini sina
idea nzuri ya biashara na kuna watu
wengine humu jamiiforums
wana...
Wana jf hebu tusaidiane ni kwa nini hii nchi makampuni yanapora mali za wanyonge kwa jeuri kubwa na hakuna wa kuwasemesha? Ni hivi, nilkuwa na salio la tshs. 2,943,040 kwenye line yangu ya voda...
Mimi ni muhitimu wa shahada ya chuo kikuu toka 2012, nimeomba kazi kwenye taasisi na makampuni mbali mbali nikakosa, nikaamua kurudi kijijini kwetu Mpitimbi wilaya ya songea mkoani Ruvuma na...
Nimeomba card yangu iwezeshwe online purchase mwaka 2014 nikawezeshwa then nikaenda Bank kui-undo hiyo service,nikataka huduma tena ya kuwezeswa kard ikagoma nikajaribukuwaona na kupiga simu mara...
MultiChoice Africa ina furaha kuwatangazia kuwa imezindua kifurushi kipya maalumu kwa watanzania. Kifurushi hiki kimetengenezwa mahususi kwa watanzania kikiwa na chaneli zaidi 65 za kitaifa na...
Ndugu zangu kwa kuwa sisi watanzania huwa ni watu wa kusaidiana kwa hali tofautitofauti kulingana na uhitaji wetu, nami naomba msaada wenu kwa anayejua.
1. Ni zao gani la miezi mitatu linalimwa...
Ukiangalia makampuni mengi kuanzia tbl, na mengineyo mameneja wake ni wachaga. Nashindwa kuelewa kwa ajiri ya nini . Nimejaribu kuuliza watu mbalimbali majibu wanayonipa kwa kweli siridhiki nayo...
Kwa mahitaji yote ya Nafaka kama mchele, Mahalagwe, Ulezi, nk pia na bidhaa zake kama Unga wa Sembe na Dona naomba tuwasiliane kumbuka tunauza kwa jumla pia mzigo utafikishiwa Mpaka ulipo. Sim no...
ABOUT NEPTUNUS / KUHUSU NEPTUNUS COMPANY LTD
Imeandikwa na AKILIMALI,
NEPTUNUS ni pharmaceutical organization iliyoanzishwa mwaka 1989, na mmiliki wake ni tajiri wa kwanza nchini china na ni...
Hivi sasa bei ya mafuta kwenye masoko ya dunia imeshuka kufikia dola za marekani kati ya 40 na 50 kwa pipa moja ambapo ushukaji huo ni zaidi ya nusu ya bei ya awali, hii imechangiwa na uzalishaji...
Je, unataka kuanzisha biashara ya kuuza mitumba? Nimebahatika kupata uwakala wa mitumba kwa mwenye kuhitaji kuanza biashara hiyo iwe kuuza nchini ama kusafirisha mikoani anaweza kuwasiliana nami...
Katika jukwaa hili nimeona na kujifunza mengi..kitu ambacho naona na ambacho kipi kwa wengi sio hapa JF tu ni uthubutu. Nchi zilizoendelea zimefika huko kwa watu wao kuwa na uthubutu, uthubutu wa...
Wakuu ni idea iliyoletwa humu na mtwa mkulu kwamba vijana wa kitanzania wasio na ajira wasimame kupoteza muda kwa kujitembeza huku na huko kwa kutafuta ajira, badala yake tuunde organisation...