Wakuu natumaini wote ni wazima wa afya, mimi nimemaliza Diploma in Diagnostic Radiography katika chuo kikuu cha afya muhimbili (MUHAS).
Malengo yangu ni kuendelea kusoma hasa kuwa cardiovascular...
Habari wakuu,
Hivi kwa wale waliosoma India Kwa ngazi ya degree Kwa kudhaminiwa Kila kitu nilikuwa naomba kujua mbinu gani iliwasaidia kupata scholarship. Scholarship walipata vipi na je...
Habari wadau wote wa JF.
Kweny pitapita zangu za hapa na pale humu JF sijakutana na general thread yeyote iliyoanzishwa kwa ajili ya chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili, bac nimeamua...
Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma.
Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha...
Naomba Kujuzwa zaidi kuhusu chuo cha IAA kampasi ya DSM
Msaada tutani, ninafikiria kwenda shule mwakani na chaguo ni IAA kusoma masters kwa mwaka mmoja, kuna mradi watanisapoti na kulingana na...
Habari.
Ikiwa unahitaji kujifunza Kiingereza kama English beginner unakaribishwa.
Hiki kipindi cha likizo cha mwezi mmoja Kama Mwalimu napenda kujitolea hasa kwa jamii yangu.
Ntafundisha mambo...
Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu.
Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo...
kama mada inavyojieleza wewe mwenye Nia yakujiendeleza kusoma chuo yaan open university na unakosa muda wakufika tawin Kwa ajili ya application, usijal nipo Kwa ajili Yako kukusaidia kuomba open...
Wanafunzi wa UDOM college ya informatics wamekua na changamoto kadha wa kadha.
1. Ubovu wa miundombinu hasa choo kwa baadhi ya blocks(1 and 3) hali inayopelekea kushindwa kujisaidia na kupata...
Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa.
Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie
NATANGULIZA...
Unahisi kwanini sikuizi watu wengi wamekuwa wakisherehekea mwenzao akifedheheshwa mtandaoni na mara zote watu wakiwa upande wa kumdhihaki yule anae chafuliwa?
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.