Nipo chuo nasoma Diploma in Clinical Medicine lakini nafikiria kuanza kilimo cha mihogo maeneo ya kisarawe naombeni ushauri, maoni mtazamo hata kama kuna idea tofauti msaada wenu 💡
Habari zenu wadau
Nina D nne za masomo ya georgraphy, history, Kiswahili na Civics.
Pia nina level three ya Fitter Mechanics je, naruhusiwa kuendelea na diploma ya mechanical engeneering kwa...
Wadau,
Ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa, naomba kujuzwa kama kuna maktaba yeyote nyingine ambayo mtu yeyote anaweza akaenda kujisomea.
Naomba kama unajua jina, location, utaratibu, gharama ya...
Wadau wa elimu.
Huwa tunaanzia kufundisha watoto a e i o u
Kisha ndio babebi... halafu ndo mambo ya 'Baba anakula nzige, aliyeng'ang'ania jani shambani'.
Nani alisema kuwa ni lazima mambo...
Heshima mbele wadau,
Kuna mtoto wa sister namsapoti kachaguliwa masomo ngazi ya cheti (certificate) kozi hizi;
1. IFM (Dar) - Certificate in Taxation
2. Mzumbe University (Moro) - Certificate in...
Wakuu habari zenu.
Naomba msaada kujua chuo gani kizuri kwa kusomea ualimu kwa ngazi ya degree kwa mkoa wa Dar es salaam.
Natanguliza shukran [emoji120][emoji120].
Wakuu msaada wenu unahitajika.
Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri.
Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT.
Sasa anachohitaji...
Habar za leo ndugu zangu.
Mwaka 2017 nilihitimu kidato cha nne na matokeo yangu hayakuwa mazuri kiasi cha kuridhisha. Mara baada ya kupata matokeo ya alama ya D tatu, nilikata tamaa na kushindwa...
Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia...
Wadau mnaendeleaje,
Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake...
Kuna wanafunzi wa Chuo Cha SUA wanadai refund ya Hela zao za ada ila tangu semester iliyopita Mpaka Leo hawajapata Hela zao. Tunaomba mzungumzie hili swala wanafunzi wapate Hela zao.
Hii refund...
Nimetoka kumchukulia dogo fomu ya mafunzo ya umeme Electrical Instillation ya muda mrefu VETA Chang'ombe. Sasa ameambiwa aje kwenye interview. Kwa wale wazoefu na ambao wameshapita ni maswali gani...
Alisoma:
Primary: English Medium.
O level: private.
A. Level: government
Occupation:
1. Baba: mkulima.
2. Mama: mama wa nyumbani.
Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata...
Kiswahili - A,
English - A,
Maarifa - B,
Hisabati - A,
Science - A,
Uraia - B,
Average Grade - A
Amemaliza katika shule ya English medium
Mimi baba yake ni kichwa zaidi yake ila matokeo...
Habari wadau wa JF,
Kama mmoja ya wazazi na wadau wa elimu pia, nimejaribu kutafuta huu waraka mpya ambaoo umetolewa novemba 22, 2023 na wizara ya elimu bado sijafanikiwa kuupata.
Nimechungulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.