Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri).
Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi...
Matokeo ya darasa la saba 2023
Necta imeweka wazi kuwa Matokeo darasa la saba 2023 yatatangazwa hivi leo kuanzia muda wa saa tano Ahsubuhi. Tunawatakia Ushindi vijana wote waliomaliza darasa la...
Site tunajua watoto wetu wa kidato Cha Tano waliaanza shule mwezi wa 8 badala ya mwezi 7. Hii ilienda sambamba na kubadilisha mihula na kupanga wasome mpaka 22 Desemba. Lakini hili limeshindikana...
Habarini wa Kuu,
Nina imani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu.
Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na...
Elimu yetu bado ni janga, kwa sababu kwa uchunguzi walimu wengi wa kike shule za msingi Tanzania hasa shule za serikali ni pasua kichwa
Kati ya watu wanaodidimiza elimu yetu ni walimu wa kike wa...
Heshima kwenu wakubwa zangu, mimi ni kijana wa miaka 19 nimemaliza kidato cha nne 2023, bahati mbaya sikufaulu kuendelea kidato cha 5, nikaamua niombe kusoma chuo cha veta kozi ya Welding and...
Wasalaam,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Nashauri serikali ipunguze masharti kwenye vyuo vya ufundi(VETA) ili vijana ambao hawakupata nafasi ya kufika form 4 waweze kupata elimu ya VETA bila...
Hivi hii kozi ya bachelor of sciance in radiology and imaging system inatolewa vyuo gani na ajira zake zikoje au ndo Ile unasoma kozi badae ukikosa ajira unashindwa kujiajiri anayefahamu ufafanuzi...
Habari ndugu zangu,wakubwa shikamoo!
Nimepotelewa na cheti changu cha FORM SIX , Jumatano ya tarehe 13/12/2023 maeneo ya POSTA mjini MBEYA.
Jina : DEBORA CHARLES MIHO
Shule niliomaliza form six ...
Zamani mwanafunzi wa chuo kikuu alikuwa ni tanuru la fikra kwa jamii. Ilikuwa hakuna linalopita bila kuhojiwa na kudadavuliwa hadi mwisho ili kupata kiini na undani wa jambo husika kabla...
TAARIFA KWA WIZARA YA AFYA, NACTEVET,SERIKALI NA WANANCHI WOTE KUHUSU CHUO CHA ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE KILICHOPO MOROGORO MANISPAA.
Nikiwa kama mdau wa elimu napenda...
Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya...
Kati ya course hizi: bachelor of social works, bachelor of arts in natural resources and management na bachelor of arts in population and development ipi ni course nzuri Kwa upande wa Ajira na maslai.
Kati kozi ya bachelor of education in psychology na bachelor of science in economics project planning and management ipi ni nzuri? Naomba msaada wa ufafanuzi.
Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati...
Wakuu salaam,
Awali ya yote namshukuru sana M. Mungu kwa nafasi hii adhmu niliyobahatika kupata. Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikihangaika kuboresha maisha yangu ndani na nje ya nchi.
Mara tu baada...
Mkurugenzi mtendaji wa Mbinga mji hali ya vyoo vya shule ya sekondari Ngwilizi ni mbaya sana.
Imefika wakati wanafunzi walio wengi wanaenda kujisaidia vichakani.
Hebu wasaidieni Hawa wanafunzi...
Habari Wana JF,
Nina rafiki yangu amemaliza chuo kikuu mwaka juzi sasa mwezi uliopita kwa bahati mbaya mvua ikinyesha akiwa yupo miangaikoni begi analowekea nguo na vitu vya muhimu akakuta...
Ni miezi sasa shule hazijapata ruzuku za elimu bila malipo. Kama walivyokiri kukosea kuweka hq ya mwendokasi jangwani na huku kwenye elimu bure wakiri kwamba hawakujipanga, warudishe utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.