Nauliza tu maana fikra za wazazi zinatofautiana
Yaani kabisa unamwaminisha mwanao akimaliza Chuo Kikuu atapata Ajira Serikalini?
I wish you a Merry Christmas 😀
Kuna shule nyingi zime simama shule kama
Tusiime
Zhabika
St Ane Maria
Fortune
Sahara
Abc school
FOUNTAIN GATE ACADEMY
GREENHILL PRIMARY SCHOOL
MAJMAAL BAHRAIN PRIMARY
STMAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL...
Kuna watu wanapata udaktari kwa dakika mbili (udaktari wa heshima) na wale wanaovuja jasho kupata huo udaktari.
Sasa maajabu hao wa dakika mbili wanatukuzwa kwa udaktari huo utadhani bila kutaja...
Kijana JUSTINE JULIUS MFUNDO huyu mmoja wa vijana walio wengi wa KITANZANIA wanaopotea na uwezo mkubwa wa akili zao darasani sababu ya Taifa kutowatambua.
Kijana huyu nimefuatilia matokeo yake ya...
Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko?
Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii,
Mtoto...
Nina dada yangu sasa nafikiria kutoa huku asante kotoko,hivyo mwenye kufahau au kuifahamu shule ya bweni yenye gharama nafuu anidokeze nifanye mpango haraka.
Natanguliza shukrani
Wakuu Habari zenu.
Nimeandika uzi huu baada ya kupata usumbufu wa zaidi ya miezi miwili nikifuatilia transcript, ili kushauri nini kifanyike kuondoa kero hii inayowakuta wengi.
Kwanza itambulike...
jf ni kisima cha maarifa , hapa kuna wadau wa kila aina.
napanda tena jukwaani ,nikiomba ushauri kwa ajili yangu na kwa wengine pia.
ndoto yangu ya kuzitumikia UN AGENCIES mfano...
Habarini wana JF, naomba kufahamu, je Kwa wanafunzi waliomaliza kozi ya clinical medicine wakiomba result transcript inachukua mda gani kuipata Kwa wanaochukulia ofisi za nacte za kanda na wale...
Habari Wana jamii ,Mimi nilikuwa nauliza kama unadiploma ya pharmacy je ukitaka kufungua pharmacy yako binafsi itabidi mpaka uweke cheti Cha mfamasia mwenye degree,na je cheti Cha mtu mwenye...
Nina diploma ya chemistry na biology. Nimegraduate 2018 mpaka Leo sina Ajira
mwaka Jana Kuna rafiki yangu aliajiriwa akaniambia take home ni 480,000
Kiuhalisia mshahara wa 480k Naona ni Sawa na...
Hello wanajukwaa,
Kichwa cha habari chahusika. Mining industry.
Ninapenda sana kazi za migodini, at management level.
Shauku yangu na ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi (managerial position)...
Wasichana katika chuo kikuu cha Ardhi wameendelea kuibuka vinara kwa ufaulu dhidi wavulana ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo jambo lililotajwa kuleta matumaini katika usawa wa kijinsia katika elimu...
Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.