Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Huu ni ujumbe mahsusi kwa form six na diploma wanaotegemea kutuma maombi chuo cha SUA. Natoa rai tu,kama unataka kusoma SUA basi omba kozi zote upendazo ila achana na kozi hizi hapa chini. 1...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism]...
10 Reactions
82 Replies
5K Views
Wanajamii forums nimeanzisha uzi huu mahsusi kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza na campus Zoote za Tanzania. Tulio Maliza na tunaoendelea wote ni wanasaut. Karibuni...
13 Reactions
294 Replies
45K Views
Tanzania: Top 10 Most Expensive Schools in Tanzania 10. Morogoro International School (MIS) MIS annual basic fee of a student ranges from Sh4.4 million in Kindergarten to Sh17 million in High...
34 Reactions
477 Replies
76K Views
kwa wale waliosoma Mbeya Secondary School (Mbeya Day), Kama mpo humu jamvini hebu tukumbushana kidogo enzi zile. Ile awamu ya kwanza ya vigae na streams mbili 'A' na 'B' kwa form 1&2 na science na...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Walimu tunapata changamoto kweli kuhusiana na matumizi ya tehama mashuleni au tunazuiliwa kutumia tehama mashuleni na viongozi wetu hususani katika maandalio ya schem of work, lesson plan...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Habari wakuu kama una carry ya mwaka wa kwanza ni lazima uifanye mwaka wa pili au unaweza acha ukafanya mwaka wa tatu.
1 Reactions
3 Replies
474 Views
Mimi ni mwanafunzi kidato cha tano PCB anayetaka kubadilisha combination kutoka PCB kwenda PCM. Nimejaribu kuongea na mkuu wa shule amesema nimechelewa kwa kuwa sasa hivi wameshaenda mbali, naomba...
0 Reactions
4 Replies
827 Views
Wenye mamlaka leo naomba kufikisha kero yangu kuhusu ubovu wa Mifumo ya Malipo ya Ada na Utoaji Matokeo ya Mitihani ambayo imekuwa na usumbufu kwa Wanafunzi kutokana na Matokeo kutowekwa kwenye...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu heri ya mwaka 2024 mnaofahanu kuhusu hii kozi imekaaje hasa kwenye soko la ajira na fursa mbalimbali. Asante
1 Reactions
4 Replies
856 Views
Habari zenu wakuu naweza pata Mwl wa procurement huku ndani namuhitaji... anichek PM plz
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Wakubwa habari, Ni kijana mwenzenu naomba msaada wa ufahamu. Mimi ni Mtumishi wa Umma niliajiliwa na elimu ya kidato cha nne. Ila ninandoto ya kuitwa Injinia siku moja na ninaamini kwenye ufundi...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Scheme zote zimeundwa Kwa format ya mtaala mpya.ni pm...nikusendie whatsup. Karibuni Wakuu..
1 Reactions
0 Replies
265 Views
Kama unafanya kazi chini ya ofisi ya Rais TAMISEMI ngazi za chini hususani Ualimu harafu ukapata Elimu kubwa ya juu hususani ngazi ya Masters au doctorate degree, unanielewa vizuri. Ngazi ya...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana Jf. Kuelekea mwaka huu wa masomo kwa Mo Dewji foundation imetangaza mpango wa kudhamini wanafunzi unaofanyika kila mwaka wa masomo .Ni fursa kwa wahitimu wenye vigezo...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuanzia mwakani 2024 watumishi katika kada zote watatakiwa kuonyesha majukumu yao kwenye mfumo ambapo tathimini ya uwajibikaji wa kutekeleza majukumu hayo itafanyika kwa kutumia mfumo huo wa ki...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Kuna Mwalimu (jina linahifadhiwa) anayefundisha Shule ya Nanhyanga Sekondari iliyopo Tandahimba Mkoani Mtwara, anaweza kudhuriwa na jamii inayomzunguka kwa kuwa wanamtuhumu kwa mambo mbalimbali...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
KWA ANAYEHITAJI KUJIUNGA NA VYUO VYA BIBLIA VYA ADA NAFUU KABISA ANICHEKI INBOX/PM. MASHARTI: APPLICATION NI BURE ADA NAFUU KABISA BOARDING(CHAKULA NA KULALA) MWAKA WA MASOMO NI JANUARY 2020...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana JF ninahitaji kupata softcopy ya undergraduate prospectus ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa mwaka wa masomo 2023/2024 au 2022/2023. Nimetafuta kwenye website yao sijaipata hivyo aliyenayo...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Walimu wenye likizo ya Disemba 2023 Igunga dDC hawajalipwa nauli zao ingawa serikali imeshatoa fedha muda mrefu. Afisa Elimu amezikalia huku walimu wakihangaika nauli za likizo. Ukiwasikiliza...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom