Habari wanajukwaa hili muhimu,
Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua juu ya Elimu inayopatikana kwa njia ya mtandao (on-line) hasa kutoka vyuo vya nje.
Je, unaweza kutambulika kama mhitimu?
Je...
Habari wandugu, napenda kujumuika na ndugu zangu wote ambao wanaingia mwaka wa kwanza wa masomo 2023/2024 katika vyuo vyote tupeane mawazo, ushauri na tusaidizane changamoto zetu, ni njema pia...
Hello members,
Naomba yeyote mwenye info kuhusu hiki chuo kilichopo Arusha mitaa ya Denish. Nimeona website yao wanatoa short courses but tuition fee yao ipo juu sana. Je kuna mtu mwenye taarifa...
Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata.
Sasa...
Naona Wizara ya Elimu kushirikiana na TAMISEMI wanaendelea kufanya maboresho kwa walimu juu ya uelewa na utekelezaji wa mtaala mpya ulioletwa.
Shida yangu iko pahala, Maafisa Elimu ngazi za mikoa...
Habari wakuu,
Ningependa kujikita moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kwa wazazi ambao huwapeleka watoto kwenye shule zinazofanya vizuri sana kwenye matokeo kuwa makini na uamuzi huo. Japo si shule...
Habari JF,
Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata?
Maana naona kimya kimetanda...
Vitu ambavyo tunafundishwa huko Machuoni, mahali ambapo tunalipia ada zaidi ya milioni 1 iwe kwa mihula michache au mingi, lakini ukweli acha tuongee. Unakuta mtu anaenda kusomea course labda ya...
Habari zenu wakaka na wa dada wa jf . Habari zenu wamama na wababa na wazee wa humu .
Nichukue nafasi hii kuwauliza wazazi wa Arusha ni shule gani ya international nzuri kwa secondary na nursery...
Hi wakuu,
Mimi ni mwananchi wa kawaida nimejiajiri maisha yanaenda.
Nakuja na ushauri wenye ushaidi kuonyesha ya kwamba kusoma degree ya ualimu na afya Tanzania, ni kupoteza muda hasa wanaopenda...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano.
Leo napenda kuupongeza uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) kwa kufuta udahili wa kozi za shahada ya elimu zenye somo la fizikia...
Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili...
Kuna wanafunzi ambao au ndio wanaingia Secondary, au wanavuka kutoka kidato kimoja kwenda kingine. Katika hali zote, kuna mahitaji ya kununua vitabu vipya vya masomo kwa wale wanaoendelea na...
Naombeni msaada nimetuma maombi ya kujiunga na veta lkn nikeambiwa kutakuwa na mtihan wa kujiunga Sasa sijajua nijiandaaje na nin wanapenda kutoa msaada wakubwa kwa anae faham anijuze
Wakuu,
Kabla sijafika ofisi za VETA Mwanza naomba madereva mnishauri hapa.
Nahitaji mwaka huu usiishe niwe nimepata angalau ujuzi wa kuendesha magari haya ya kawaida tu pamoja na leseni yake...
1. Huyu bwana nyakati za vipindi vya kawaida kumuona shuleni ni nadra sana kwa mwezi anaweza kuhudhuria vipindi siyo zaidi ya mara 4.
2. Majukumu mengi ya kituoni mfano kusimamia mitihani ya...
Wanabodi salaam
Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano.
Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.