Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wale tuliopitia uzumbeni tusikose graduation ya wadogo zetu form 6 itakayo fanyika mwezi wa 4. Binafsi nilikuwa na ishi mkwawa01 village nikiwa a-level. Pia pongezi kwa ex-mzumbe kwaajili ya...
4 Reactions
150 Replies
17K Views
Najua humu kuna watu wanafanya tafiti au kuandika machapisho mbalimbali, iwe ni sehemu ya kazi au kitaaluma n.k. Inawezekana labda nyaraka zako unaziifadhi kwa pdf, na ungependa kuzifanyia...
2 Reactions
14 Replies
755 Views
Nimeongeza kaelimu hapa, naomba utaratibu au format kabisa ya kuandika barua wilayani kwa ajili ya nyongeza ya mshahara! Kwa anayejua anisaidie
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha. maana hayashauriki
1 Reactions
8 Replies
536 Views
Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza...
18 Reactions
135 Replies
7K Views
Habari wana JF, Naomba kujuwa maelezo zaidi ya kozi hii na fursa zake kwa ujumla.
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Jmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Jamani msaada wenu mliojiunga Naomba kujua wapi najiunga? Kwa kawaida kuna eneo limeandikwa register here Lkn hapo siooni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninashindwa kujua ni ipi kanuni ama mwongozo wa mitihani ya mock Tanzania, ninauliza maana sina uhakika kwamba hiyo inampima mwanafunzi kwa kiwango kipi yaani ufauli ni upi? ama kufeli ni alama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari, Naomba tujadili hili ni sawa? Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7...
3 Reactions
70 Replies
3K Views
Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya...
25 Reactions
102 Replies
12K Views
Habarini, Happy New Year Wana Jukwaa la Elimu!! Chuo gani kinatoa kozi za Ualimu wa Chekechea/awali kwa kanda ya ziwa.
0 Reactions
1 Replies
516 Views
TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan...
0 Reactions
1 Replies
671 Views
Hii course ya Data Science ndio ikoje inamaokoto na je ajira zake zinapatilana wapi?
0 Reactions
3 Replies
397 Views
Back
Top Bottom