MFANO WA TASK NA SUBTASK ZAKE KWA WAKUU WA SHULE
1.Kusimamia taaluma na ufundishaji kwa
asilimia 100.
Subtasks.
[emoji736]Kusimamia maandalizi ya lesson plan, scheme of work, logbook,n.k. Kwa...
Nimekuwa nikijiuliza kwanini shule hii ya mafunzo ya sheria kwa vitendo [LAW SCHOOL] iko Dar pekee yake? Kwanini haina Matawi maeneo mengine hapa nchini?
Hapa kuna njia 10 bora za matumizi bora ya smartphone kwa wananchi wa Tanzania:
1. Elimu: Kupata habari, makala, vitabu vya ki-electronic na programu za kujifunza zinaweza kusaidia katika...
Habari zenu wanaJF,
Binafsi namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anayozidi nineemishia. Na nipende kuwapa pole wale wote wanaopitia maswaibu mbalimbali na kumuomba Mungu awapiganie...
Nahitaji kwenda kusoma NIT ili nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3
Je ada yao pale ni Tshs ngapi, kozi inachukua muda gani mpaka kumaliza na kupata cheti na...
Habar Wana JF,
Hv inawezekana kwa watu wenye diploma ya account and finance kusoma (CPA)? Na Kama inawezekan ni vigezo gan vnahitajika?? Na ni level gan ataanza nayo? Tuko hapa kujifunza naombeni...
habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
Meona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au...
Wataalam, Hivi hapa duniani kuna somo linafikia kwa ugumu au kupita kabisa sayansi ya anga ?
Maana hii fani mimi binafsi naona ngumu hatari na gharama sana.
Oya washkaji nisaidieni niko form 6 namaliza mwakani niko tahasusi ya hgl lkn sijui chuo niende na cozi gani ukiachana na law, naombeni msaada wenu apo wa cozi zenye fursa nyingi
Ndugu samahanini naomba kufahamishwa jinsi gani ya kuludia mtihani wa kidato Cha sita kwa mwaka huu 2023 kuhusu vituo hambavyo Ada zao huwa sikubwa kwa hapa daresalaam nahuwa shilingi ngapi...
English medium zimejikita sana kwenye kuridhisha wazazi kuliko kutoa elimu, ni bahati mbaya wazazi hawajagundua hili..
Na hizi shule zimejikita sana kwenye kuwafurahisha wazazi, walisha jua hapo...
Napenda kuipongeza tume kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakikisha walimu wanapatiwa huduma kuendana na mahitaji ya kiteknolojia ya sasa. Jambo hili kwa kweli linatia moyo na limeisogeza huduma...
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.