Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wapendwa watu wenye ulemavu na jamii yetu ya kitanzania, salamu....napenda kutumia nafsi hii kwa dhati ya moyo wangu kuwakaribisha kwenye ukurasa huu muhimu. Pia namshukuru Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu mwenye mawasiliano ya mkufunzi wa taaluma chuo cha ualimu dakawa moro anisaidie hata kama ni namba za simu za mkufunzi yeyote pale
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Wakuu nina mdogo angu apa kamalza kidato cha nne na anataman kujiunga na koz mojawapo tajwa apo juu lkn anashindwa akamue ipi #na zote anapend!!.....ip ni nzur kushinda engne
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wakuu, Natafuta shule yeyote yenye mchepuo au combination ya PCB iliyopo mikoa ya Dar, Morogoro na Pwani. Ada ianzie 800000 hadi 1500000. Nitashukuru sana mkinisaidia.
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Nisaidieni link za watoa schorship nje na ndan ya nchi! Nataka niombe masters
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Habari zenu wadau,naomba mwenye zile form za bodi ya mikopo za kujaza kwa mkono naomba anisaidie mana nimeangalia kwenye website yao sijaziona. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Kwa anayejua mawasiliano na uongoz wa shule tajwa hapo juu anisaidie na hali ya shule ilivyo kwenye michepuo ya art.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hello JF members, am looking for a seriously teaching QT Centre anywhere in Dar es Salaam.May I have your help please....
0 Reactions
2 Replies
6K Views
nilifany mtihani wataifa 2013 na matokeo yakawa hivi, civcs c,geo c, Engliah c, bios c, kiswahil c, math e, phsc e, na chemistry e.but kutokana na some reasons sikufanikiwa kuendelea kimasomo ila...
1 Reactions
5 Replies
848 Views
Nataka kujua ada za shule hizi kwa michepuo ya sayansi boarding jwa anaejua plz inform me Shaaban Robert high school Tusiime high school Loyola high school Kamene high school Alpha high school...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Karibu uwanja wa maarifa, habari za ulemavu na walemavu, stadi za maisha na nasaha. By Mwl. Wa Walemavu na Jamii yetu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mwenye kufahamu/ kuifahamu shule husika hapo juu anisaidie Kupata mawasiliano. Shule hio ipo wilaya ya igunga nawasilisha.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Assalam Alaykum Tafadhali naomba kujibiwa kwa uhakika kabisa or for refrence, cjapat mkopo mwaka wa kwanza na mwaka wa pili cjaomba bt nw ngoma ngumu je mwaka wa tatu naweza kupata mkopo. Thank you
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Anayejua jinsi ya kujaza form za mikopo naomba anielekeze manake nasikia mengi adi nachanganyikiwa
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Kwa masitikiko makubwa hivi bodi kwanini hawajawapa wanafunzi wa hivi vyuo fedha za kujikimu mpaka sasa zilizopaswa kutolewa mwezi wa tano???!! Mnafikiri watoto hao wanaishi vipi na katika hali...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Wakuu naomba msaada kwa mwenye ujuzi na hili, naulizia Shule ya bweni yenye ada nafuu sana, ambayo inapokea Risitors., Iwe ya Boys, au hata boys & Girls,
0 Reactions
17 Replies
60K Views
wadau wa elimu ningependa kuwafahamisha kuwa shule ya secondary kyela iliyopo mkoani mbeya inasababisha watoto wenu kufanya vibaya mitihani yao. ZIFUATAZO NI SABABU ZA WANAFUNZI WA KYELA...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
kuna watu waliomba kuunganishwa kwenye group la whasapp kuhusu mambo ya scholarship hivyo wanitumie jina na namba kwenye 0754487943
1 Reactions
0 Replies
814 Views
Nasikitika sana kwa hii serikali ya JPM kutolivalia njuga hili swala la sisi wasimamizi wa mitihani ya necta kidato cha nne 2015. Tumeifanya kazi kwa moyo mkunjufu na kwa uaminifu lakini mnatuona...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu waliopangiwa Pugu au kusoma Pugu high School, A-level tuonane hapa. NB: Naomba mnitumie picha za Pugu boys mtoto wangu kapangiwa hapo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom