Kuna ndgu yangu ana miaka 32 kamaliza 2009 PCB akafanikiwa Ku score div ii ila bahat mbaya aliugua mwaka Jana akapona ....mwaka huu alikuwa NA mpango wa kuapply MD,tatizo linakuja heslb wametoa...
Naomba msaada kwa wale waliopitia private candidate wakiwa o-level wakati wa kununua vocha via M-pesa kwa ajili ya application za mikopo na wanatumia index number ipi?? Maana wanakua na vyeti...
Msaada kwenye fomu za maombi ya mikipo Heslb,vp hapa kwenye kuambatanisha nakala ya cheti cha form6 sasa inakuaje hapoo na uku vyeti na result slip badooo[emoji17] [emoji17] na mwisho ni 31 July...
Walimu shuleni wanakimbizana kumaliza SILABASI badala ya kumaliza ujinga. Ndio maana utakuta mtoto wa darasa la saba anamaliza hajui kusoma wala kuandika.
Wakaguzi wa elimu wao wanakwenda...
Wakuu mabibi na mabwana...selection ambazo zilitazamiwa kutolewa mwanzoni mwa mwezi huu zitachukua muda kidogo hii ni kutokana na kugundulika kwa udanganyifu,na kuna watu wamefanya application...
Kwa niaba ya mwalimu wa shule ya sekondari kisangara mwanga anaomba kubadilishana kituo na mwalimu yeyote aliye tayari kutoka morogoro municipal,au mvomero kwa mawasiliano awasiliane nae...
Wapendwa wasomi wenzangu, naomba kujuwa zile form za application and agreement zilizo katika Guidelines ya 2016/2017 kwenye ukurara 18 na 19 tunazijaza na kuzituma wakati gani? ama tunazichanganya...
Mwalimu mmoja, idara msingi anataka kutorka kazini aende masomon kuchukua shahada baada yakuomba ruhusa nakunyimwa na mkuu wa idara wakati kuna wengne wanamwaka mmoja kazini lkn wanapewa ruhusa ya...
It's my Hope Kuwa mpo poa wanajF.
Inafahamika wazi kuwa HESLB( BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU),Tarehe 24/June/2016 Walitoa TANGAZO
Kuwa tar 27 June,wataanza kupokea Maombi ya...
Hi! wanajf ,Tupeane maujuzi ya hizi kozi kwa upande wa fursa za ajira serikalini,kujiajiri na mshahara serikalini.Mfano daktari anayeanza serikalini (MD)huanza na mshahara wa 1.2mil je na Huyu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.