Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kuna tetesi yakuwa Matokeo ya kidato cha sita yanatarajiwa kutolewa jumatatu hii.. (Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye ufahamu wa hili)
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari Wana Jf, nimejaza hatua zote kwenye fomu ya Maombi ya Mkopo Heslb lakini hichi kipengele cha "Post Form Four Education" kimekuwa tatizo kubwa. Nisaidieni tafadhali
0 Reactions
98 Replies
11K Views
MASOMO MATATU SOMO LA KWANZA. Nilikuwa kanisani nikimsikiliza muhubiri mmoja maarufu, muhibiri alitoa mfukoni noti za shilingi elfu kumi kumi zilizokuwa na jumla ya Tsh laki moja, akauliza, "ni...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwalimu mmoja kutoka Minnesota, aliwaambia wanafunzi wake waandike majina ya wanafunzi wenzao ( classmate) na waache nafasi kati ya jina moja na jina jingine. Kisha akawaelekeza waandike vitu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Ningependa kufahamu kama kuna chuo kina toa course ya building management course au course ambayo ipo kwenye same discipline. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Hiki chuo kinatoa mafunzo ya wahudumu wa afya(Medical Attendants), ndicho chuo kinachoongoza kwa kuuza vyeti kwa watu bila hata kupata mafunzo katika chuo hicho then watu hao ndio wanaenda kutoa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wakuu mwenye mawasiliano ya mwalimu yoyote au uongozi wa shule ya Alfa ya Morogoro naomb anisaidie.
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Ndugu wana jf rejea maada tajwa hapo juu natafuta shule ya private yenye bei nafuu day jijini mwanza yenye high school na iwe vzr academic unaweza utaniambia shule ipi nzuri na ikiwezekana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa natamani kuwa mjasiliamali na hasa ninamapenz makubwa na ice cream hivo naomba msaada kujua wapi naweza pata coz hiyo ASANTE.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
KANUNI YA AKIMEDES: Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika. Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza[emoji23][emoji23]
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sry jaman kwa wale ambao bodi ya mikopo imeshapta kufany verification vp wanaitaj nn na nn
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari;Ndugu zangu naombeni mwenye taarifa juu ya shule ya Sekondari ya Bukongo ambayo ipo Ukerewe ..nijuzen kuhusu mambo muhimu kama Michepuo yao hapo shulen na hali halis ilivyo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wataalamu naomba kujua, ikiwa kijana amechaguliwa kujoin form five na wakati huo huo alikuwa ameomba NACTE, Je NACTE watamchagua? Ufaulu wake ni mzuri (Division 1)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini Wakuu, Nauliza, endapo mwanafunzi alisoma combination ya Chemistry, Biology na Nutrition (CBN) form 6 na kufaulu vizuri, anaweza kuapply course ya Doctor of Medicine na akachaguliwa...
0 Reactions
51 Replies
19K Views
Hebu tujadiliane kidogo, kwani kuna allocations ambayo imefanyika kwa kupeleka wanafunzi sehemu ambayo ilikuwa haijaandaliwa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha tano. Wanafunzi hao...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Msaada kwa mwenye no za uongonzi wa taqwa high school mwanza anisaidie ikiwezekana hata joining instructions
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Natamani kujua kuhusu tanga technical kwa advanced level wanavaa mashati ya mikono mirefu au mifupi???? Then duka lao unaweza kununua baadhi ya vifaa ambavyo vipo kwenye fomu?? Na ni vifaa gani...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau ni bora kusoma A level kwa mwaka mmoja au kusoma open university foundation course kisha kusoma degree Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kipi in bora kati ya hivi vitu viwili
0 Reactions
2 Replies
557 Views
Habari wakuu. Mm ni mwanafunzi wa Pharmacy hapa St.John. ila na malengo ya kwenda kusoma USA. How do I go about?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwenye taarifa ya lini hasa TCU wataanza kupokea maombi, nijuze tafadhali
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom