Mzazi au mlezi anaehitaji mwalimu wa kumfundisha mwanae muda wa ziada anitafute. Nafundisha masomo karibu yote kwa wanafunzi wa kidato cha pili kushuka chini.
Kidato cha tatu na nne nafundisha...
Habarini wadau, namtafutia mdogo wangu wa kiume shule nzuri ya dini (Seminary) ya secondary (O-LEVEL), kati ya mkoa wa morogoro, kibaha au bagamoyo. Yenye maadili mazuri na pia mazingira ya...
Habari wakuu wangu!.Kuna anefahamu chuo kinachotoa kozi ya Master ya Research,monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania,Kenya au Uganda.Kama Kuna mtu anafaham anifahamishe tafadhali.
Waliochaguliwa na Nacte kwenda udsm halafu bado wanasema tusubiri confirmation kutoka chuo wana maana gani? Hapo hapo ukiingia website ya chuo, wapo silent kutoa majina na opening date in 31-10...
Ndugu wana JF naombeni Masada kwa hili nahitaji kufahamu kwa ukiwa umeaply NACTE na ukawa hujachaguliwa.
Je ikifika tena muda wa kufungua system, je utaomba upya kwa kulipia pesa tena au kuna...
Kutokana na tatizo linalowakumba wanafunzi wengi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano (tatizo la kupata joining instructions), kwa kushirikiana na mkuu wa shule ya sekondari Mwendakulima...
Jamani naomba msaada wa haraka jinc ya kuupload picha kwenye form za heslb kwa sababu tangu juzi nasumbuka naitaji nifahamishwe yafuatayo
1.aina ya picha inayoitajika kamani jpg, jepg, bmp png...
Kwenye kujisajili ili uweze kuomba mkopo Kuna sehemu ya national ID number vipi kama nikijaza namba ya cheti cha kuzaliwa itakua sawa au mpaka nipate national ID chenyewe
Ndugu wana jf naombeni Masada juu ya hili je ili usajiliwe kufanya necta form six hususani wanaosoma private school unatakiwa uwe na C flat kwenye comb au C Tatu kwenye cheti na kama ni kwenye...
Mdogo wangu alirisiti mwaka jana masomo 6 majibu yakawa hivi;
Kiswahili D
English C
Literature C
History C
Geography D
Civics D
Sasa alienda kuchukua form shule moja ya advance ipo hapa Dar...
Habari wana jf wenzangu,
Natumai mu wazima wa afya...
Mimi ni binti mwenye elimu ya darasa la 7, Dhumuni langu ni kujiendeleza kielimu hasa kwa kujikita kusomea kozi yenye maket sokoni..
Je kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.