Bodi ya mikopo ya elimu ya juu inaendelea za zoezi la uhakiki wanafunzi wa elimu ya juu nchi nzima ambapo katika taasisi 26 zilizohakikiwa,taasisi 18 jumla ya wanafunzi 2,739 hawakujitokeza...
WanaJF
Mimi matokeo yangu (ya kidato cha nne) yako kama ifuatavyo;
Chemistry-b
Biology-b
English-b
History-d
Civics-d
Geography-c
Mathematics-c
Kiswahili-c
Halafu sijapata shule. Je, kuna...
Natumaini kati tarehe 7-10/6 /2016 vijana waliomaliza kidato cha sita wasiopungua 15000 walijiunga na jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria kwa muda wa miezi 3,vijana hao wengi wao kama sio...
Ndugu wana jf. Natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha. Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu katika degree ya ualimu katika masomo ya hesabu na jiographia. Nimekuwa nikifundisha secondary advance na...
Habari za mda huu wanajamii
Naombeni msaada Wataalamu wa IT walioko humu. Jana nilijaza fomu ya bodi ya mikopo sasa kuna sehemu ya wilaya nilikosea kujaza. Badala ya kuandika wilaya ya...
Nimefanya application ya Masters UDSM online. Nimefuata taratibu zote na nimefanikiwa kutuma maombi na kupata serial number (S/N). Lakini mpaka sasa kwenye application form inaonyesha kwenye...
Naomba kufahamu jinsi ya kujaza form ya mkopo undergraduate degree je unaijaza form kabsa Online kisha unadownload au unaidownload mwnz kabla ya kujaza unaijza kwa pen? Naomba kufaham celew mambo...
PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo...
Siku hizi kuna vyuo vingi sana Tanzania na kuna wa wanavyuo wengi sana Tanzania ila tatizo lipo kwenye fikra na matendo ya wanavyuo sababu kuna wanavyuo wengi wajuaji na idadi ndogo ya wana...
Nina mdogo kafaulu shule ya secondary MALANGALI iliyopo mkoa wa iringa. naombbeni utaratibu wa kuhusu rangi ya UNIFoRM anazopaswa kwenda nazo. karibuni wadau
Ni kwann saiv katika udahili wa vyuo. Ukitak kuangalia profil yak unaambiwa password or username is incorrect. Wakat ziko sahihi kabisa???![emoji24] [emoji16] [emoji24] [emoji24]
Wakuu naombeni kueleweshwa kwa wale wenye uelewa na wanaosomea, waliosomea uandishi wa habari pia na utangazaji kwenye station mbalimbali. Soko la tasnia hii likoje hapa Tanzania?
Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.