Namba mnisaidie Hawa TCU si wanahisika na waliomaliza frm6, sasa Hicho kifungu cha 5.1 cha waliomaliza DIPLOMA awe na GPA 3.5 kinawahusu nini wao, wakati wanafunzi wameisha apply through NACTE...
TCU wametoa sifa za kujiunga na chuo kikuu wastani wa D mbili, kitu kisichowezekana kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita kujiunga chuo. Kuna kundi kubwa sana la wanafunzi watakao kosa sifa za...
Jaman wanajamvi naomben msaada nmekosea kuandika Jina la mtaa kwenye form yangu ya mkopo je nifanyeje maana baada ya kuandika mtaa nmeandika ile sehem mfano banana instead of kitunda je apo itakua...
Nimeingia tovuti ya HESLB na kuomba mkopo kwa kujaza zile fomu za OLAS. Nikafika kwenye fomu ya 'Post Form 4'. Kwenye fomu hii kuna vipengele vya form six index number, candidate type, school...
Wiki hii tumepokea mabadiliko ya sifa kwa wanataka kusoma elimu ya juu kupitia TCU nimeona kuna mabadiliko tofauti na NACTE walivyotangaza na watu wakaomba.
Jambo ambalo linanipa sintofahamu ni...
Wadau nimetengeneza hii thread ya IT ili tuweze kubadilishana mawazo na kushauriana katika maswala mbalimbali kwenye hii industry ya IT.
Wale System Administrators,Network Administrators,Security...
Nilienda chuo flan hivi dar kuomba nafasi ya kusoma katika chuo chao,
Nikalipia form ya kujiunga na pesa ya nacte na wakanifanyia maombi kweli kwenye CAS na wakanitumia user name na password ya...
Wana JF,
Kama title inavyojieleza. Ni utaratibu usiopingika mara nyingi kwa Phd. holders na Professors kuwa na machapisho ya kitaaluma kwa fani zao walizobobea. Nimejaribu kutafuta chapisho la...
The webometrics Ranking of world universities,they have ranked the universities in Africa based on various parameters.
Here are the top 20 universities in Africa.
1:University of cape town(south...
Wadau naombeni mnieleweshe, huwa nsskia sana neno "open university" lakini huwa sielewi ni vyuo vya namna gani na vinahusu nini, nielewesheni tafadhali.
Nina mdogo wangu alikuwa anasoma degree tangu mwaka 2014 ila ameacha chuo mwaka huu baada ya kugundua kozi aliyokuwa anasoma haina msaada kwake, anataka aapply upya tena kupitia TCU inawezekana na...
habari wa jf, kwa yeyote anayejua hostel zenye rums za mtu mmoja anifahamishe Tafadhali. iwe ipo karibu na maeneo ya sinza,mikocheni, mwenge,ubungo, Bamaga, au kijitonyama. Asanteni
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama...
Habari wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa anaejua shule nzuri ya private isiwe mbali na iringa yaani iwe ni mikoa jirani na iringa kwa yeyote anayeifahamu naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.