Naomba nijuzwe kuna utofauti gani mtu akiomba NACTE au TCU?
Na je NACTE wanaitaji watu kuanzia ngazi gani na TCU wanaitaji kuanzia ngazi gani pia?
N;B kama nimekosea sehemu...
Nilienda Open University wakaniambia niapply hapo chuoni. TCU wanasema uapply degree kupitia kwao peke yake.
Je,ni sahihi kuapply chuoni degree au nimeliwa? Au niapply TCU upya?
HESLB has issued seven days for the students to avail themselves for verification in their respective universities, failure of which they will be required to return the loans in full or face...
Naomba msaada kufahamu mwanafunzi wa aliyehitimu kidato cha sita masomo ya arts akipata Division one kama course anayoapply si priority mkopo inakua si uhakika licha ya kuwa ana one?
Msaada plz
Wakufunzi kutunga mitihani hawalipwi, kusahihisha mitihani wanalipwa kila paper, kusimamia wanalipwa. Swali la kujiuliza kumark na kusimamia mitihani sio moja ya kazi zao za kawaida? Inakuwaje...
Siku hizi kuna vyuo vingi sana Tanzania na kuna wa wanavyuo wengi sana Tanzania ila tatizo lipo kwenye fikra na matendo ya wanavyuo sababu kuna wanavyuo wengi wajuaji na idadi ndogo ya wana...
Habari za kutwa watanzania wenzangu nilikuwa naomba kufahamishwa kwa wanao faham juu ya chuo cha NIT. Je kinatoa kozi za udereva wa magari makubwa?
Au ni chuo gn kinatoa hiyo kozi na inatumia...
Matumizi ya simu za mkononi Ni miongoni mwa mapinduzi makubwa ya mawasiliano hapa nchini,aidha imerahisisha hats mfumo wa utumaji wa hela miongoni mwa watanzania wengi.
Pamoja na kurahisisha...
Ndugu zangu leo hii naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa. Yupo mwalimu aliyejulikana kwa jina la Lweshabula Kyabugera kutoka wilaya ya Muleba.
Akiwa kama mtaalamu wa kwanza katika wilaya hiyo...
Naomba kwa anayejua shule nzuri inayo fundisha elimu ya watu wazima yaani Qt secondari kwa miaka miwili anijuze plz, maeneo ya buguruni. Nategemea majibu mazuri kutoka kwenu
Habarini za jioni bandugu,ninaomba kufahamishwa mana ninataka kujiunga na open kwa kuanza na foundation coz,sasa je nikimaliza alaf nikajiunga na degree serikali itakubali kuja kuniajiri?na je...
nimemaliza kidato cha sita Azania Secondary mwaka huu nimekuja bukoba kutembea Na kusalimia ndugu kidogo nipo nshambya.nilikuwa napenda kupata marafiki wakupeana na mawazo ya hapa na pale na ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.