Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Azania kunani jaman,?? Ngozie vip.. Wadau tulisoma azania tupo wapi?
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wale woote tulioanza shule mwaka 1999 huu mwaka ni mwaka wa nuksi kwetu aiseee dah sijui kwa kuwa ndio mwaka ambao baba wa taifa alitutoka khaaa tunapita kipindi kigumu mno katika taalimu yetu...
6 Reactions
67 Replies
7K Views
Natumai hamjambo, wale walioamka na matatizo mbalimbali poleni sana na Mungu muweza atawapa urahisi kuondokana na matatizo hayo. Baada ya salamu niingiie kwenye swali langu ambalo nikutaka kujua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Matokeo ya kidato cha sita 2016 yanatoka lini? Na grade ni zile zile au zmebadilika tena? Msaada tafadhali
0 Reactions
21 Replies
12K Views
check your names na pia yapo wasiokidhi vigezo ambayo sijaweka hapo
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Wakuu shule kama tosamaganga,ifunda tech,malangali,moshitech,galanos,pugu,weruweru,ashiragals,bwiruboys,bwiru boys,zimepotea kabisa katika taaluma wakuu tatizo ni ni ni? ,shule hizi zinachukua...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
ii serikali ijaribu kutafakali kwa kina.Alama za mwaka huu zimebanwa sana. 2016/2017 A.80_100 B.70_79 C.60_69 D.50_59 E.40_49 Hapa ukiwa na CEE huendi chuo eti mpaka uwe na D mbili. 2014...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau kuna MTU hapa nna mdau mwenzangu alipiga EGM mwaka 2012 na alipata E flat yaani EEE Je hapo akiapply chuo mwaka kunakupata kweli
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu yangu alipata C moja ña D moja ktk matkeo ya kidato cha nne,je nichuo gani cha certificate anaweza soma Na course gani kwa bei gani. Mahali popote nchini Tanzania.Asanteni.
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wadau samahani kuna application nilikuwa nafanya bodi ya mikopo sasa nilishindwa kumalizia kwa sababu sikuwa na passports ya bwana mdogo Na ya baba yake. Sasa kuja kurudi nikitaka Ku log in...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
I am a graduate of BSc Statistics and I am so much interested in becoming the health researcher (Bio-statistician), I do seek the advice from professionals of health over two matters; a) My...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
1. UDSM 2. UDOM 3. SAUT 4. ST. JOHN 5. MZUMBE 6. MUSLIM UNIVERSITY OF MORO 7. KAMPALA I. UNIV. 8. THEOFILO KISANJI 9. IMTU 10. TUMAINI 11. ST. JOSEPH 12. MWENGE 13. ARDHI 14. DUCE 15. RUCO 16...
0 Reactions
99 Replies
24K Views
Wakuu kama kuna mtu anaefahamu tarehe ya matokeo kutoka ya kidato cha sita 2016.. anisaidie [emoji120]
1 Reactions
36 Replies
13K Views
Tumeona kwamba matokeo yao pia yametoka leo kww walimu wa cheti na diploma..hivi serikali kwanini isiwaajiri tu na waliomaliza mwaka jana kwakua mpaka sasa ajira bado..au ndo lazima ukae usote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nime apply Nacte [law] Lakin naona wanazingua lakini wAzo lililo nijia kwenda Advance(private) ila kikwazo matokeo Kisw C Engl C Hist D Geo D Civ D Bio D Math f Nisubili Nacte au niende privat
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Watu wenye vyeti feki na watumishi hewa sio watu wa kuonewa huruma hata kidogo maana wamewasababishia vijana wasio na makosa kabisa ajira zao kusimamishwa, wailetea serikali hasara kubwa, wataalam...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimemaliza form four mwaka jana na nkapata div 3 but sijachaguliwa shule na serikali, je niende private au chuo? Na sijachelewa kuapply chuo? MATOKEO YANGU NI:- HIST D GEO D CIV D BIO...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada wenu tafadhali juu ya uelewa wa hivi vitu kwa mfano Division 1 = gpa ?-? Na kuendelea mpaka division 0
0 Reactions
0 Replies
3K Views
jamani kwemaa?...napenda kujua eti majina ya waliochaguliwa kujiunga na certificates au diploma ni lini yanatoka?...maana mdogo ananisumbua sana..#msaada jamani please!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom