Jamani mimi ni mwanafunzi wa KCMC kozi ya Pharmacy. Naomba msaada wa kuweza kumaliza masomo yangu ya diploma mwaka ujao kwani nimekwama kiada. Aliyekuwa akinisomesha amefariki dunia.
Msaada tafadhali
Habari za weekend wakuu..
Ufafanuzi unahitajika hapa, hivi hoja ya msing ya TCU ni angalau D mbili au angalau point 4.0? Au vyote? Tazama huo mfano[emoji1541]
1) Mtu mwenye D D E anakua na...
TAMKO LA KAMATI YA MAWAZIRI WA MIKOPO WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TANZANIA KUHUSU UCHELEWESHWAJI WA MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KATIKA KIPINDI CHA MAFUNZO KWA VITENDO MWAKA 2016/2017...
Habari zenu wapendwa katika bwana.
Mimi nina maoni machache tu kuhusu Tanzania Commission for Universities(TCU). Nafikiri wanapaswa kuangalia tena mfumo mpya wa kujiunga na chuo.
Ile idadi ya...
Taarifa imesambazwa kwenye Halmashauri zote, Kwa Waratibu Elimu kata, Wakuu wa Shule za Sekondari na Walimu wakuu wa Shule za Msingi ikiwataarifu kuwa hakutakuwa tena na mchujo wa mtihani wa kati...
Samahani kwa usumbufu wa ndugu. Ndugu yenu nahitaji la kujua kuhusu mwandishi wa kitabu cha "Mfalme Juha" kama bado yupo hai? Na kama yupo hai huyo mzee anapatikana wapi?
Nataka kufanya nae...
Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nikapata div3 ya 24, sinafanikiwa kuchaguliwa form5 na nimebaki njia panda juu ya hatima yangu. Nataka nirudie masomo niliyopata D na F mwakani kwani nina...
Natumaini mu wazima wana jf, nimefungua thread hii ili iweze kuwasaidia wale wote wanaofanya application vyuo vikuu mbalimbali nchini, pia maswali mbalimbali yanaweza ulizwa hapa.
Payment...
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita 2016, ambayo ufaulu wake umeshuka, huku shule ya sekondari Kisimiri, ambayo ni ya kata ikishika nafasi ya kwanza kitaifa...
Kama kawaida yangu,ninakupa kitu roho yako inapenda,je ungependa kujua GRADE A,B,C,D,E,S,F ULIZOPATA NI SAWA NA MAKSI NGAPI HADI NGAPI?Basi angalia hapo chini kujua maksi zako;
PUBLIC NOTICE
The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform you that the deadline for application into Bachelor Degree programmes through the Central Admission System...
Ninachukua combination ya PGM, na pass marks zake nilipata ni DCD na mimi nataka kubadilisha coz wamenipangia HGL kwa pass mark ya CCB, nimetuma maombi ya kubadilisha comby mkoani na sasa hivi...
Hii mada ni kwa ajili ya wanachuo tuliofikisha GPA mpya 3.5 na kupanda juu mpaka 4.5 jamani asikwambie mtu kufaulu ni raha.
A=5, B+=4, B=3, C=2
GPA=E(GRADE POINTS * CREDIT HOUR)/E TOTAL CREDITS...
SERIKALI na wadau wa sekta ya elimu wanatakiwa kuboresha shule kongwe zilizopo hapa nchini kwa kuwa zina mchango mkubwa katika kulifikisha Taifa hapa lilipo.
Wasomi wengi waliostaafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.