Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
niaje wakuu?,natafuta kitabu chenye jina hapo juu kimeandikwa na Ngwira C.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf, Mimi ni mdau mkubwa sana katika kufuatilia mambo ya elimu hapa nchini bila kujali ni mambo yanayohusu hatua ya chini niliokwishapita ama vinginevyo. Ilikuwa kawaida kwa miaka ya...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Naombeni kujua jinsi ya kulipa hiyo hela ya kuomba vyuo kupitia TCU mwaka huu. Kama walivosema kuwa wataanza kupokea tar 20 hivyo nahitaji kuwa tayari. Msaada plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kujitambulisha,mimi ni mmoja kati ya wanafunzi walofukuzwa pale Udom. Ninapo andika Uzi huu hadi sasa ni mwezi moja na wik kadhaa lakini serikali haijatoa hatima yetu nini,zaidi ya kukaa...
3 Reactions
0 Replies
827 Views
Kuna utaratibu nimeugundua katika nchi za magharibi kuwa mazai anao uwezo wa kuajiri mwalimu wa kumfundisha mtoto/watoto wake nyumbani kama hataki watoto hao waende shuleni kama watoto wengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba niseme Ukweli, Mimi ni Mwalimu idara ya Sekondari nina mashaka na hii tume wa kuratibu mambo ya walimu viongozi wake wake kuteuliwa na Rais. Serikali kawaida haipendi viongozi watakao ibana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari tajwa. Nataka kusomea hii kozi, vipi ni nzuri na inalipa kwenye soko la ajira? Na kwenye sekta ya afya ni nzuri? Ushauri tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nataka kulipia pesa ya fomu ya mkopo. Naomba kujuzwa utaratibu wa kufanya hivyo. Natanguliza shukrani wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua kama mtu anataka kusoma degree kupitia chuo kikuu huria hivi kigezo cha kuwa na GPA ya 3.5 inahusika nako au la?. Asante
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani hii website ya NACTE haifunguki kwa mimi tu au na kwa wengine? TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA WA KUPOKEA MAOMBI YA UDAHILI WA KOZI ZA CHETI, DIPLOMA, DIPLOMA YA JUU NA...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari wakuu! Natumaini mpo salama. Nina mdogo wangu yupo form three, nataka ajinoe vizuri katika masomo yake kama maandalizi mazuri ya kuingia form four. Hivyo natafuta Tuition Centre nzuri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Natafuta Kamusi ya Kiswahili - Lingala au Lingala - Kiswahili. Kwa yeyoye mwenye nayo au anayefahamu inakopatikana, tafadhali wasiliana nami: 0784744404 /0713744401
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Soma hapa: Siongezi neno.
5 Reactions
576 Replies
122K Views
Hivi vyuo vinadahili wanafunzi kwa ngazi ya degree mwaka huu direct chuoni bila kupitia TCU je ni haki au tunatapeliwa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadogo zangu habarini zenu; Kama umemaliza F.VI na hujajua la kufanya jiungeni kwenye vikundi then nendeni mashambani mkalime, hakuna sehemu yenye mafanikio makubwa kama kwenye kilimo na ufugaji...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Hiki ni kilio kikubwa kwa sisi diploma holders. Hatutakwenda kusoma vyuo vikuu hasa wenye diploma ya ualimu,hizo GPA ni kubwa mno. Nasikitika kusema vyuo vikuu vingi vitafugiwa kuku.
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ndugu wana JF, Hawa nacte kweli wamezidiwa sana IT wao wameshindwa kufanya kazi walau hata "Profile" zifunguke Bora wakaazime China
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habarn wana jamvi, mimi ni mhitimu kidato cha nne 2015 nlipata div3 lakn sikubahatika kuchaguliwa kidato cha tano. Sasa naomba kwa yeyote anaye fahamu shule private advance yenye tahasusi za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mliosoma umbwe a'k'a mtisafi Mpo???
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa na mkanganyiko wa madaraja ya ufaulu kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Hususan A, B, C, D, na F zinapoanzia na kuishia.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom