Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Shikamooni wakubwa zangu nimemaliza form six mwaka huu HGE nimepata two ya point 10 na ninataka nichukue BACHELOR OF ART IN GEOGRAPHY AND ENVIRONMENTAL STUDIES samaani nilitaka kujua kama hii...
0 Reactions
4 Replies
993 Views
Habari za kwenu, Wana uzi mimi ni kijana nimemaliza form 6 na ninatarajia kujiunga na Chuo kikuu Mungu akinijaalia, ila kuna tatizo linanitatiza hasa katika program za kusoma. Mimi binafsi...
0 Reactions
44 Replies
12K Views
Waliosoma kozi za uteknolojia wa maabara za afya (medical lab technology) kwenye vyuo vilivyo chini ya NACTE na kumaliza september mwaka jana mpaka leo hii July hawajapata vyeti vyao. Serikali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Orodha ya majina ya wanachuo wanaorudi kusoma stashahada maalum ya ualimu (UDOM) Majina ya wanachuo waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu chuo kikuu cha Dodoma waliopangiwa kurudi...
1 Reactions
46 Replies
13K Views
Kuna mdogo wangu anataka kwenda kusoma Chuo cha CBE. Matokeo yake ni Civics D Hist. D Geog. D Kiswahili C E.Language D Literature. E Chemistry E Biology D Math E Kwahiyo kwa chuo cha CBE...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Habari wanajamvi nimesoma mchepuo wa EGM eti kwa mm naweza kupokelewa UDSM au ARDHI kwa course yoyote nzur ukiachana na education ..na kama ipo ni ipi ...msaada tafadhali[emoji120] [emoji120]
0 Reactions
4 Replies
935 Views
jaman nisaidien nimeselect ilala baada ya kinondon kwenye kuomba mikopo alaf nishaprint vp inakuwaje maana nimechanganyikiwa
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo wanajamvi.. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu...nilisoma HKL..nimepata division one ya point nane.. tafadhari naomba kujua je nitaweza kupata nafasi UDSM Na je nitaweza kupata mkopo...
3 Reactions
89 Replies
8K Views
Habari wa dau wa ELIMU. Naomba mwenye details na hiyo kozi hapo juu. Anisaidie CHUO GAN Tanzania au EAST AFRICA. Ada zake. Na hata soko la Ajira. ASANTEN.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi, nimepata: Physics D; Biology E; na Chemistry E, which is = Total points 4. Je kwa mtindo wa minimum 4 points from two principal passes nina sifa za kujiunga na chuo kikuu...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
Waziri wa elimu sayansi n.a. teknolojia prof. Joyce Ndalichako ametangaza rasmi kua serikali imewarudisha wanafunzi 382 Kati ya 7882 UDOM kua hao ndo wamekidhi vigezo vya kua pale kwa kupata...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wana jamii forum; Naomba kwa anayeweza kunisaidia mawasiliano ya mkuu wa shule ya Mpitimbi Sec School anisaidie nataka kumpeleka mtoto wangu kapangiwa hiyo shule sasa nimeona...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mnasema eti TCU sasahivi cut points zao lakini mmesahau kimoja mwaka jana C ilkuwa 40-49 na E mwaka huu ilikuwa 40-49 na D ilianzia 50-50 sasa iweje mwanafunzi aliyemaliza mwaka jana ambaye...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Habari wa dau wa ELIMU. Naomba mwenye details na hiyo kozi hapo juu. Anisaidie CHUO GAN Tanzania au EAST AFRICA. Ada zake. Na hata soko la Ajira. ASANTEN.
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu kozi tajwa hapo juu soko lake lipoje na hasahasa naitaji ile ya watu wenye matatizo ya macho kwa harakaharaka nimeiona Sebastian kolowa memorial university. Nimemaliza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni kweli St.joseph mwaka huu hakichukui wanafunzi Wadau wenzangu?
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza, je mwalimu akienda masomoni mshahara wake atakuwa hapokei (hauflow)? Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi kwenye mkoa tajwa hapo juu kuna hilo darasa kweli? Naombeni msaada!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu mimi nmehitimu cha sita kwa mchepuo wa PCB na kupata : Physics E Chemistry D Biology D G/S S BAM E. Nina ndoto ya kusoma course za afya hasa udaktari...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu matokeo ndio hivo yametoka na mdogo wangu kasoma kwa shida sana.Na kapata div 3 ya point 13 ana Physics&Math E,Chemistry ana C. Na vigezo vya kuja chuo angalau ni D mbili.Uwezo wakumpeleka...
3 Reactions
106 Replies
10K Views
Back
Top Bottom