Anayetaka aende chuo kikuu asome kwa bidii na ajitume ili akidhi viwango vilivyowekwa na TCU. Haiwezekani mlalamike kwamba iachwe nafasi kubwa ili mpite tuu bila kuwa na ufaulu bora eti kwasababu...
Habari zenu ndugu, let's me stick at the point me Ni mhitimu wa kidacho cha 6 mwaka huu nimepata alama za DEE sasa hapo nafikiria kukata rufaa katka somo1 ambalo nahakika nalo kabsa naombeni...
habari za majukumu wana JF
Nimesom certificate ya ualim wa shule ya msingi lakini kwenye upande wa shule za kiingereza,lakini nina wazo la kubadili kozi kati ya
-banking and finance
-accountant...
Habari za kazi,
Hivi ni lini serikali itatoa majibu ya moja kwa moja kwa wanafunzi wa program maalumu ya ualimu wa Sayansi na Hisabati waliondolewa katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)?
Maana mpaka...
Ndugu wana JF nina mdogo wangu kapata C tano za history, civic, chem, bios, na geog D 3 za eng, kisw na physics na F ya math. Na shule yao ina division two mbili na three 7 four 96 na zero 65...
Kama serikali ina nia njema na elimu ya Watanzania basi ipandishe kiwango cha ufaulu kutoka Shule ya msingi kwenda sekondari na kutoka Kidato cha nne kwenda kidato cha tano.
Kwa...
Zifuatazo ni priority courses zilizotolewa 100% loans na bodi ya mkopo kwa bachelor degree
1.kozi zote za afya (MD, PHARMACY, NURCES, SURGERY, NK)
2 . civil and irrigation /water resources and...
Wakuu ni binti wa kutoka familia duni kabisaa haelewi cha kufanya.Wazazi wake wamejitahidi kwenye shule za kata,binti amepata div 3-15 ya CBG,ana D moja.Haelewi afanye nini,sielewi...
Jamani naulizia mwenye uelewa na cutoff za kuingia Makerere University.Nina mdogo wangu ana division III point 16 ACSEE mwaka huu , Chem =E, Bios =E na Phy=S.
Mwenye uelewa nauliza kama...
Nimeskitishwa sana na shule top ten 10 VILAZ,A Majority kutoka Tanzania Zanzibar hasa UNGUJA.
Zanzibar inasadikika kuwa na wakazi wachache sana kutokana na takwimu na maelezp ya Mbunge Ally...
Nimefanya uchunguzi wa haraka na kugundua kuwa wanafunzi waliofanya vizuri katika shule za serikali na kuwa katika kumi bora walitoka shule za private na hivyo msingi wa ufaulu wao ni kutoka shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.