bodi ya mikopo hivi inakuwaje kwa mtu ambaye amesha apply mkopo kabla ya kuona vigezo vipya vya TCU kwamba lazima uwe na upper second (kuanzia GPA ya 3.5) kwa wale waliomaliza DIPLOMA
kwa mtazamo...
Jamani naomba kujua summary ya vitu vinavyohitajika ili kuomba mkopo loan board. Kuna vingine nina uhakika navyo lakini naomba kujua kama kuna kingine nimesahau.
Cheti cha form 4
Picha ya...
Kwa kweli inasikitisha sana kwa rais wa wanafunzi SUA anapopanga kulazimisha kubakia katika madaraka japo muda wake kimasomo umemalizika. hii imetokana na yeye kwa kushirikiana mshauri wa...
Habari wana JF na mdogo angu ana diploma ya development planning na GPA ya 3.8 unadhani achague kozi gani kwenda bachelor degree?
Msaada wa mawazo yenu , aksante!!
Wanafunzi 2,739 mbalimbali hawakujitokeza kuhakikiwa wakati Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilipofanya shughuli hiyo katika vyuo 26 nchini.
Kaimu Mkurugenzi wa bodi hiyo...
Kwa muda mrefu tcu walitangaza kwenye tovuti yao kwamba watafungua maombi kwa njia ya cas tarehe 20/7/2016.
Leo tarehe 20/7/2016 saa 2.15 asubuhi nimeingia kwenye website yao wanasema cas...
Hili swala limewachanganya sana watu lakini nahisi labda pengine hawakuliewa hili suala vizuri, Ni kweli G.P.A ni 3.5 lakini ni kwa (university) yani Vyuo vikuu.
Mfano Tanzania vyuo vikuu nikama...
najaribu ku save index number ya form six system haikubali inaniandikia wrong index number!waliopata changamoto hii kwenye ujazaji wa form za mikopo tujuzane.
Kuna mtazamo flani au mawazo flani yalijengeka kwa watanzania kwamba kuwa na elimu YA degree sio issue tena lakn hii imetokana nakutokuwa na uongoz mzur wa kufanya elimu yeti iwe na thaman lakn...
Ningependa kujua sabab kwa yeyote anayrjua sabab ambayo ni tofaut ya ile aliyoitoa prof ndalichako ya kuhakik majina maana hii sababu naona kama haina mashiko. Au ndo uchumi umebanwaaa na hazina...
habar wa jf
leo nimeptia gazeti la mwananchi
nlilichokiona ni kwamba TCAA kufungia wabunifu wa vyombo vya anga tz
my take;
kwann serikali inapoteza vipaj kama hivi bila kusaidiwa?
tatizo watz...
Wakuu, kuna hali ya kuchanganya.. kati kile kipengele cha kuambatanisha cheti cha form 6.. wapo wanaosema kua waliomaliza mwaka huu wanatuma ivoivo na wapo wanaosema una ambatanisha result slip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.