naomba ushauri wa faculty ipi ya kusomea ambayo ipo sokoni kwa wakati huu, ,nimesoma mchepuo wa pcm na ufaulu wangu waniruhusu kusoma faculty yoyote inayonihusu,,, msaada wakuu
Hatimae serikali yafikia kilele cha kuipandisha hadhi SAYANSI NA TEKNOLOJIA baada ya guided book kwa wanafunzi Waliomaliza NA kuhitaji kutumia matokeo ya kidato cha 6 kuingia shule kuonesha...
Salaam alaykum wanajukwaa....naomba msaada wa kuelekezwa vigezo vya kujiunga kozi ya sheria kwa ngazi ya cheti at udsm, gharama na namna ya kupata admission zake.. shukrani sana
Wakuu habari nina kijana wangu nataka kumtafutia chuo cha nje ya nchi ambacho kinatambulika na serikali yetu ili hata akimaliza kusoma asipate tabu kwenye maswala ya kupata ajira...Lakini pia...
Jaman habarini za asubuhi mimi nmehitimi kidato cha 6 mwaka huu 2016 na nimepata division 2 ya point 10 combonation HGL nataka nianze application leo na nimepewa pesa sasa sijui nianzie wapi yani...
Bodi ya mikopo Tanzania (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi rasmi ya mikopo kwa kutoa Guidelines kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnaombwa kusoma kwa makini masharti kabla ya kufanya...
Wanaotarajia ku apply SAUT Mwanza kuweni makini. Kama ni mtoto wa fukara kama mimi usijaribu kuomba SAUT main campus, wapo kimaslai zaidi na hawajali hali ya mtu.
Kwa mfano; Kuna huu mchezo wa...
Hivi Mwecau nyie mlishamalizana na bodi ya mikopo? Je boom lote pamoja na hela za field wenzetu mmepata? Maana kuna vyuo wanahakiki kwanza wanafunzi hewa!
Hii elimu ina siasa ndani yake? Nauliza tu.
Ushauri: Mkimaliza kufungia vyuo vya private mfuate na shule za A-level, O-level private pia. Zibaki za serikali tu.
Naona UDOM mmeiingiza kama kuitoa...
Naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea. Je na wao wanaomba tena mkopo online au kama alikuwa na mkopo na mwaka huu atahesabika anaendelea na mkopo aliokuwa amepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.