Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
MH PROF NDALICHAKO. NAOMBA UTUMBUE JIPU LIITWALO MAAFISA ELIMU WA HALMASHAURI. Habari kwenu,narudi tena kutumia kalamu yangu kukosoa mwenendo wa maafisa elimu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nambo mwenye kujua atusaidia ili tujue wenzetu wanafanyaje maana sisi kila awamu na yake. Sitashangaa Raisi ajae akaja na minimum qualifications kuwa ni point 5 au hata akaturudisha kwenye point...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Ndugu wana JF...... Naombeni ufafanuzi kwa anayejua kuhusu hili je kunauwezekano kwa waliofanya maombi katika vyuo kama butimba, mpwapwa n. K kukosa nafasi ya kuchaguliwa kutokana na wanafunzi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
naomba ushauri wa faculty ya engineering ambayo ipo sokoni kwa sasa.Matokeo yangu ni 1 ya 4 nilisoma mchepuo wa PCM.
1 Reactions
3 Replies
577 Views
Za asubuhi wana JAMII O-level III-24 A-level III-17 GTSEE masomo 10 pass(A3,B5,C2) DIPLOMA in secondary-PASS(GPA 2.3) mie mwalimu lakini wa msingi miaka 8 sasa. Vipi nifanyeji kufanikiwa degree ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nina Mdogo wangu hajafanikiwa kupata selection kwa kuwa ufaulu wake haupo vizuri sana. Geography C,Kiswahili C ,History D ,English C ,Biology C ,maths F . Kwa ufaulu huu anaweza kwenda A -Level ...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Habari zenu wana jamii forums wenzangu..natumain ni wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siki! Nmekuja hapa nna shida nna ndugu yangu kamaliza mwaka huu 2016 kidato cha6 kapata div3 ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu Wana JF, katika pitapita zangu kwenye Guidebook ya TCU nimekutana na hiki; kwamba Bachelor of Art with Education ni Priority faculty kwa St. Augustin University of Tanzania. Ni upi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu Nimeangalia swala la vigezo vya kuingia vyuoni kwa wanafunzi wa kidato cha sita nikagundua ni ubabaishaji sana hasa kwenye muundo mzima wa serikali. Hatuwezi kujenga nchi imara kama...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
wadau nataka nisome electrical engineering udsm GPA yangu ni 3.8 kutoka arusha technical college itawezekana? au nisijisumbue msaada wakuu.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau, naona kwenye zile form za mkopo baada ya ku print wanahitaji uambatanishe cheti cha matokeo ya kidato cha 6 na nimeulizia shuleni wakasema bado hayajatumwa, hapa nafanya nini tafadhali?
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Habari yenu? Kutokana na wadau weng kuuliza kuhusu ushauri wa kozi gani za kuchagua kutokana na matokeo aliyopata,nimeamua kuweka hapa ushauri ambao naamini kwa asalimia zaidi 90% nitagusa kila...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
Naombeni msaada kuhusu wanafunzi wa diploma ya clinical officer wanamtihani Wa kutoka wizara ya Afya 2016
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Jamani na mdogo wangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu mchepuo wa HGL matokeo yake ni D ya GEOGRAPHY,E y ENGLISH, na E ya HISTORY..sasa naomba kujua chuo atakachoweza kupata diploma endapo NACTE...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
industrial engineering kwa mzumbe ni mahala sahii wakuu na kinakazi gani hasa baadae
1 Reactions
1 Replies
865 Views
Wanajamvi, naomba kusaidiwa. Eti mti aliyesomea Automobile engineering anakua na fursa za ajira gani kwa mfan0?? Msaada tafadhali.,,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ivi kwenye guide book ya TCU pale kwenye column ya Loan inapoandika non priority inamaanaisha mwanafunzi hata pata mkopo kabisa??????
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Anayejua chuo kingne tofauti na SEKOMU kinachotoa kozi hiyo ni chuo gani na je ugumu au urahisi ukoje? Nipo interested kupiga hyo degree nikawasaidie ndugu zangu walemavu msaada please kwa wanachuo
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Jamani naomba msaada mimi nimepata E flati HGL nataka kwenda degree vp naweza kufanya application bila TCU? Kama naweza, inaweza kuwa shilingi ngapi kutoa ili nifanikiwe kwa sababu baba yangu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom