Jamani nilitaka kujuzwa kma hawa TCU watafungua huu mfuko maana ulifungwa tokea May. Mwenye taarifa maana watu hatuelewi. Na nilikuwa naomba mnisaidie na Sifa za kujisajili
Habarini wanajamii forums,
Mimi ni mwalimu ,Huu mwaka nilikua na mpango wa kwenda kusoma,sasa Ndalichako nae kaja na yake 3.5GPA hakuna aliyepata chuo cha diploma ya elimu.
Sasa nimeona nirisiti...
Hello JF .....
Today I've decided to give you an advice for you my friends of here with small GPA which is rejected i mean those of below 3.5 GPA (JIPA)
very sorry my friends ... education is...
Hello JF
Seven days ago I wrote a thread here KWA WALIMU WALIOKO KAZINI NA KWA YEYOTE ATAKAYEGUSWA …. to request a financial assistance for higher education.
Many people who have seen the thread...
Habari wanajamvi?
Naombeni mnijuze,tumezoea kusikia ama kuwaona wajuzi mbalimbali katika ngazi za kitaaluma kama PhD holders wakiitwa (mfano:Dr.Juma) au unakuta mwingine anahadhi ya kua Proffesor...
Nimeangalia Marian girls wanafunzi wennye point 10 kwenda MUHAS NI KAMA 7 TU! Na ikumbukwe kuwa hizo ndizo zilizofaulu sana. Hivyo Hivyo Marian boys wennye point 10 toka subjects 3 ni 8 TU. Hizo...
Napenda kuwashauri tena na tena vijana walioko kidato cha nne na ambao wanategemea kufanya mtihani wa kidato cha nne mwezi Oktoba, wakati wa kuchagua nafasi za kuendelea na masomo yao, wawe makini...
Tunawashukuru nacte kwa kusikia kilio chetu na kutoa posts, lakin mbona guide book ya 'education category' mbona hawajaiweka na nawezaje kuipata? msaada tafadhar
Habari zenu, je ni kweli kwamba chuo hiki ni moja ya vyuo vyenye elimu yenye fursa kubwa za ajira kwa kua taasisi za Serikali za Mitaa ni nyingi kuanzia ngazi ya kujibu hadi jiji?
Ni nani kapitia...
You appear to have been previously admitted. Please consult TCU with evidence that you are no longer a student and that you owe no tuition and other fees to your former institution. Otherwise you...
Habari zenu wasomi, naomba ushauri wenu nina mdogo wangu amemaliza form six mwaka hhuu na amepata three ya kumi na tatu, je anaweza kupata bcom au bachelor of finance udsm au ifm?
Wakuu,
Mimi ni yule kijana wenu mwema na nisiyekuwa tatizo na mtu kabisa nchi hii. Kwa yeyote atayesikia kuwa kuna sehemu anahitajika mwalimu wa kujitolea bure kabisa bila malipo kwa masomo ya...
Kwema wana ukumbi, wakuu kwanza tufahamu fika nchi kjama nchi inajengwa na wananchi wenyewe wazalendo kabisa wa taifa lao usitegemee mtu yoyote kutoka nje akawajengea nchi yenu/yetu..Elimu ni...
Wadau eeeeeeeeeeh nacte bado hawaja toa au mpakq weeeek 4 zijazooooo nn
Coz wamesema mpk week 4 yaaan trh3 mpaka leo trh 21 bado ci mazinguZi haya au wame tusahau nn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.